Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

Hiyo hela ndogo kwa fisadi au kwa mtu alirithi mali lakini kwa mtu wa kawaida kuitafuta hipo kazi ndugu
6m ni nusu ya kipato changu kwa mwezi na mimi sijaiba hata kuku zako
Sio wote majizi duniani na hizo ni fikra za kumasikini

Mtoto wangu wa miaka 12 ana account yake mara 4 ya hizo na sio za wizi bali namuwekea kila mwezi kwa jasho langu

Najua hii Dunia tunaiacha lazima niwaandalie maisha yao upo hapo
 
Uongooo bana
 
Majibu ya kimasikini utayajua tu

Nidanganye kwa manufaa ya nani?
Nina miaka zaidi ya 60 naishi nje sasa nishindwe kuwa na hela

Umasikini mbaya sana pole
Mawazo ya kishirikina yamekujaa wewe
Una idea leta nikupe hela

Utajichosha mbona
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa anakataa wakati hata hakufahamu
Hawa ndio huwa wana rubber stamp kichwani kuwa kila mwenye hela ametoa kafara

Hakubali kuwa kuna pilots, engineers na hata doctors na truck drivers wa usa hahaha

Yeye anajua wote waliomo humu wamepanga vyumba vya 40,000 na wanaishi Dar wote

I feel sorry kwa watu kama hawa

Kuna forums nyingi duniani maskini huyu angeangalia wenye private jets naona angewaambia wote waongo [emoji1]
 
Mipango sio matumizi, kwenye hii Dunia panga uwezavyo ila kufikia lengo muachie Mungu.
Mimi nilishawahi kuomba nipate hata M2 tu, nikapata M13, ila baada ya mwezi ni masikini sina hata mia, hapo ujue mimi sio mlevi wa aina yoyote ile.
Kwahiyo ukiipata hiyo hela omba ulinzi wa Mungu, Kwakuwa hiyo kazi utaifanya na binadamu.
 
Kwahiyo unamaanisha ukipoteza wewe basi watu wote watapoteza kama wewe?[emoji276]
 
Back
Top Bottom