Nikipata utajiri nitakuwa katili sitakuwa na huruma

Halafu Sasa , ukipata pesa utasahau yote HAYO machungu. Hata marafiki utabadilisha. Utawasahau marafiki masikini utajiunga na marafiki wenye pesa
 
Wewe Jamaa ni pimbi kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio maana mungu atakuzidisha kuepo ndani ya umaskini
 
Hebu kaa utulie utueleze vizuri kilichotokea mpaka unakuwa na hasira kiasi hiki.
 
Ndo maana ni masikini wa kutupwa

Hata baiskeli hutanunua mpaka siku unarudisha namba!
Sawa unanishambulia bure tu lakini kwa upande mwengine kwanini hujiulizi nina hasira kiasi hiki. Hata kama haitatikea niwe tajiri lakini kwa bahati itokee tu kwa njia flani ama nyingine sicheki na mtu nitaishi kivyanguvyangu kama chui yeyote atakayethubutu kunikenulia meno nakunisogelea namtwanga risasi
 
Hebu kaa utulie utueleze vizuri kilichotokea mpaka unakuwa na hasira kiasi hiki.
Mkuu watanzania wana madharau sana cha kushangaza wanaokudharau nao maisha yao ya kubahatisha. Kuna watu midomo yao ni sumu. Kisasi nitalipiza sema sheria za nchi. Nina hasira sana na wote nawaombea mabaya hakuna huruma. Nikiwa tajiri lazima niwe mbabe na dharau mbaya sana. Yeyote atakayenifuatafuata piga kumbo la taya nyanyua nakulitupa koringoni huku nikifyatua risasi kadhaa. Nyonga nyonga tu hamna huruma. Tumia majambazi maadui zangu wote. Tenga fungu la mabilion kwa kulipiza kisasi. Wale wanawake wote walionidharau na kuniabisha nikuwatuumia watu wawamwagie tindikali niko tayari hata kutoa Bilion. Naapa sitaongea na yeyote na sitajibu salamu yeyote. Nitakuwa mkali na amri Salam zangu kujibu ikibidi ni kufyatua risasi. Nitanunua gari kali na vyoo wakati wote nakufunga. Nikishika hata milioni kumi sasa hivi nyodo nitaonyesha. Nyambafu
 
Jifunze kusamehe na kushukuru hata kwa pumzi tu uliyenaye, kipind wew Unawaza utajiri yupo mtu anataman japo maumivu yanayotokana na kansa yapungue ili angalau aweze kunywa maji tu amshukuru Mungu, mkuu hakuna mwenye kila kitu Dunia hii, hata hao wenye pesa kuna vitu wamepungukiwa au hawana kabisa. Jifunze kushukuru, upendo, kusamehe na kupambana, kupambana + muda ndo Unaweza kubahatisha utajiri.
 
Hutapata huo utajiri kwa akili hiyo
 
Hunabudi kumuomba Jack Pemba akufundishe hii njia maana yeye alikuwa akiosha gari lake kwa Champaigne.
Raha ni kuwa kama Dan Bilzerien naona hata Mond anaelekea huku kwa huyu jamaa. Ila Dan bahati mbaya ameanza filiska.
Mwendo wa kuzungukwa na warembo popote uendako na kula bata like there is no kesho.
 
Kwa iyo saizi upo kwenye v8 yako Mkuu.Hawamu hii watanzania wengi wanapungukiwa akili.mitano mpaka iishe ndo sijui itakujae
 
Ahmada Umelewa! Ahmada umelewa! Ahmada umelewa.

Bibi Kidude alimjua vilivyo huyo kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…