Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Falasy of hasty generalization!
Not true aisei..!
Sex organs are not enough to mark the distinction of male with female..! Women do have many things looking to man than we men..!

Mwanaume uzuri wako, au tabia inaweza tosha kumvutia kwako ila si mwanamke aisei.. Nyie viumbe ni walafi na mnatamaa kama fisi msiotaka kupoteza au kuacha aina yeyote ya faida itokeayo mbele yenu, bahati mbaya mingine huwa ni.mitego na msijue kuwa ni chambo hunaswa kama nyimbu wa serengeti..!
 
Ni ajali tu za maisha, utayasahau na utampata alie mwaminifu. Ile kitu kushare hapana bwana piga chini
Mbona Asprin anashare na Sakayo na umetulia tu huna la kufanya??Au ndo kupenda huko!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana ni moja ya changamoto katika maisha. Ila futa hiyo nadhiri uliyoiweka utakuja kupenda tena binadamu tumeumbwa kusahau.
 
polee sana wanajifanya siku izi wanataka wanaume wenye mashine lakini ukweli tu hata wapate wanume wenye viwanda hawaridhiki ndio maana hata mungu amewapa nyusi lakini wao wanazitoa afu wanaweka za bandia
my take tafuta defensive mechanism ambayo itakufanya usimuwaze tena kama vile utafute demu mwingine mkali zaid utamzoea hadi utamsahau huyo malaya, hata msingeachana kwa staili hii mngetengena tu hata kwa kifo nothing which is permanent kila lenye mwanzo linamwisho tafuta kifaa kingine
 
Ulimpa uhuru uliopitiliza mwenyewe mkuu. Usimlaumu sana, hawa wanawake ni kama wanasimamia mguu mmoja balance ni tatizo sana.
 
Mh wanawake wa humu me sijui nawaonaje,kuna mmoja humu anatumia i.d nzuri sana nkajua kisu,siku naenda kumeet nae nlichokutana nacho siri yangu siwez kuanika hapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…