My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
Unataka mwenzio awe nguruwe ee?njoo kwangu sitakusumbua hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mwenzio awe nguruwe ee?njoo kwangu sitakusumbua hata kidogo
Not true aisei..!Falasy of hasty generalization!
Mbona Asprin anashare na Sakayo na umetulia tu huna la kufanya??Au ndo kupenda huko!!!Ni ajali tu za maisha, utayasahau na utampata alie mwaminifu. Ile kitu kushare hapana bwana piga chini
Mpe muda wa kutosha asettle , baada ya hapo unaweza hata kushinda nayo....Huenda maisha ya ndoa umeyachoka. Yan simu ya shemeji yako hata huwa siigusi. Maisha yanaenda
Umeona eehehh..! Coleta mpenzi ujambo mama...!Unataka mwenzio awe nguruwe ee?
Sakayo ni ndugu yanguMbona Asprin anashare na Sakayo na umetulia tu huna la kufanya??Au ndo kupenda huko!!!
Usimdamganye mwenzio asije kuwa nguruwe bure, huku Yesu Kristo anazaliwa..Xmass utakuwa na baby mpya trust me.
Usimdamganye mwenzio asije kuwa nguruwe bure, huku Yesu Kristo anazaliwa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Not true aisei..!
Sex organs are not enough to mark the distinction of male with female..! Women do have many things looking to man than we men..!
Mwanaume uzuri wako, au tabia inaweza tosha kumvutia kwako ila si mwanamke aisei.. Nyie viumbe ni walafi na mnatamaa kama fisi msiotaka kupoteza au kuacha aina yeyote ya faida itokeayo mbele yenu, bahati mbaya mingine huwa ni.mitego na msijue kuwa ni chambo hunaswa kama nyimbu wa serengeti..!
Na hichi kimvua mtu anagawa uchi jamani..!Time will tell
Unacheka huo ndiyo ukweli...! Nilisha sema siwezi ona mwanamke anateseka nikimbilie kumhurumia kabla sijajiridhisha kuwa anastahili kuhurumiwa..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
polee sana wanajifanya siku izi wanataka wanaume wenye mashine lakini ukweli tu hata wapate wanume wenye viwanda hawaridhiki ndio maana hata mungu amewapa nyusi lakini wao wanazitoa afu wanaweka za bandiaNilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.
Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.
Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Teh naanzaje kusahau ma
Ndugu ni ruksa kushare??[emoji32][emoji32][emoji32]Sakayo ni ndugu yangu
anamridhisha how fafanuaPole sana ukiachilia huduma huwa unamridhisha???? Ni Muda gani unapita hamjaonana???? Au mchina kaongeza dau???? Inauma asee
Cc Smart911
Kumbe tuna share?Ndugu ni ruksa kushare??[emoji32][emoji32][emoji32]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh wanawake wa humu me sijui nawaonaje,kuna mmoja humu anatumia i.d nzuri sana nkajua kisu,siku naenda kumeet nae nlichokutana nacho siri yangu siwez kuanika hapa!