Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Nikipenda tena nigeuke nguruwe

Falasy of hasty generalization!
Not true aisei..!
Sex organs are not enough to mark the distinction of male with female..! Women do have many things looking to man than we men..!

Mwanaume uzuri wako, au tabia inaweza tosha kumvutia kwako ila si mwanamke aisei.. Nyie viumbe ni walafi na mnatamaa kama fisi msiotaka kupoteza au kuacha aina yeyote ya faida itokeayo mbele yenu, bahati mbaya mingine huwa ni.mitego na msijue kuwa ni chambo hunaswa kama nyimbu wa serengeti..!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana ni moja ya changamoto katika maisha. Ila futa hiyo nadhiri uliyoiweka utakuja kupenda tena binadamu tumeumbwa kusahau.
 
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
polee sana wanajifanya siku izi wanataka wanaume wenye mashine lakini ukweli tu hata wapate wanume wenye viwanda hawaridhiki ndio maana hata mungu amewapa nyusi lakini wao wanazitoa afu wanaweka za bandia
my take tafuta defensive mechanism ambayo itakufanya usimuwaze tena kama vile utafute demu mwingine mkali zaid utamzoea hadi utamsahau huyo malaya, hata msingeachana kwa staili hii mngetengena tu hata kwa kifo nothing which is permanent kila lenye mwanzo linamwisho tafuta kifaa kingine
 
Ulimpa uhuru uliopitiliza mwenyewe mkuu. Usimlaumu sana, hawa wanawake ni kama wanasimamia mguu mmoja balance ni tatizo sana.
 
Mh wanawake wa humu me sijui nawaonaje,kuna mmoja humu anatumia i.d nzuri sana nkajua kisu,siku naenda kumeet nae nlichokutana nacho siri yangu siwez kuanika hapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom