fute alexander
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 382
- 148
We bado Mdogo huwezi kuacha, hizo hasira tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzima kwanza, mtetezi wa wanawake...! Nyie viumbe kwa kiasi kikubwa anayewaonea huruma huwa awaelewi vyema...!Pole sana mkuu!
Chunga sana kuhusu kuweka nadhiri. imeandikwa usiweke nadhiri kwa kitu ambacho huwezi kukitimiza, kwa maana mwenyezi MUNGU atakuadhibu.Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.
Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.
Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Kabisa mumy ,,ajiulize yeye hajawah cheat?? Je angekutwa?? Yan hawa viumbe wanapenda ujinga wafanye wao tu ila ss kusema ngoja tupooz kidogo tayr wanakuja na conclusion hata ss tunaumia jaman
Jf mwanamke pekee ambaye naweza kumuoa bila masharti yeyote ni Heven Sent pekee yake..?[emoji24][emoji24][emoji24]
Acha utapeli wewe hapo shida zako tu zinakudrive...! Pyuuuuuupole sana, njoo utulie kwangu maumivu hautapata tena na utapenda tena
Pole sana.Umenifundisha jambo nalifanyia kazi nijikopeshe mtaji kidogo kidogo then ndio nimuache
Piga kimya kama hakuna kilichotokea, ongea nae mambo ya maana tu lkn kuwa serious zaidi, usimguse, kuwa busy kupita maelezo...utaona atakavyo haha atakufa siku si zake!
Ni mkewe. Ana haki ya kupiga simu muda wwteNajua maumivu uliyonayo ila kuna swali moja nashindwa kuelewa ni kwa nini upige simu saa 10 usiku?
Najua maumivu uliyonayo ila kuna swali moja nashindwa kuelewa ni kwa nini upige simu saa 10 usiku?
Duh pole sana mkuu..naelewa maumivu yake..weekend tukale beer tu sehem tupoze mioyo..una story kama yangu.Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.
Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.
Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
umepanda miwa ndani ya shule.hawa ni dada zetu,mama zet,wake zetu,wachumba zetu.kiukweli si kuwahamini kwa asilimia 90 katika mapenzi.story yako kwamba mpa hapo wewe na mke.mke wako ndiye mwenye pesa sasa.pesa ndiyo imekusalitia ndoa yakoNilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.
Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.
Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Kwani mkeo kuna mipaka ya muda wa kuwasiliana?Najua maumivu uliyonayo ila kuna swali moja nashindwa kuelewa ni kwa nini upige simu saa 10 usiku?