Uko sawa ila mimi najua muda mrefu kuna mambo lazima yapewe priority kubwa sana ili kutoa askari mwenye ubora kwendana na training husika. Jaribu kutazama TMA au 92 uone kama instructors huwa wanamasihara nakumbuka miaka hiyo Dom makutu pale ilikuwa balaa sijui nowadays mambo yapoje?