Nikipiga kimoja tu nasinzia

Nikipiga kimoja tu nasinzia

aisee wengi wao wako hivyo kwa wake zao ila kwa vinchechede vyao utakuta akifiklia chpsi zake lazima aende mara 3
 
Umesha mchoka choka mpe likizo ndefu uone kazi,inaelekea unapiga show kila siku eeh
 
Labda una stress nyingi na hivo ukisha zi release mwili una rilaksi..
 
hiyo ndio raha ya mapenzi, sasa wewe unataka ukimaliza game uende kupalilia bustani?
 
Hilo ni tatizo...pendelea kunya chai yenye mdalasini na asali kabla ya kulala kila siku lakini pia fanya mazoez ya mwili...
 
Back
Top Bottom