Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Bora mchepuko ana hata dakika tano za kunipa pole kuliko yule mzee wa busy yeye na ofisi na kazi ndo mungu wake na mme wake
 
Hata na yeye huko mkoani yupo na kijeba kingine, so maisha burdaaaani.
Bora umejitolea kuwa sponsor, mana ukitoa mungu anakuongezea.
I dont care hata abanduliwe na kila mtu
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Je niko sahihi?

Hongera kwa kuwa nazo. ATM isiyo kauka.

Kwa kiasi uko sahihi kuchepu na kuachana na huyo umdhaniaye hachepuki.

Hauko sahihi kuchepuka na mwanachuo, maana wamejaa humu na wamekusoma vizuri. Kwa jinsi wanavyoandika humu jamvi nakuhakishia watakugawana kama mpira wa kona.
 
Huwa sidate na mtu aliyeonesha nia ya kunitaka yeye! Always naibua mwenyewe mali mpya
 
Hayo ni mawazo yako! Kila kitu kina muda wake kutafuta hela hakuzuii kuwa kwenye mahusiano! Half usiwe unajudge mtu usiyemjua yawezekana income yako haifiki hata robo ya kwangu
sina kabisa io income
komaa na kuhonga basi
ila kumbuka hakuna snitch kama pesa ukiwa nae fanya vya maana akiondoka atakutesa usiku na mchana
 
Huwa sidate na mtu aliyeonesha nia ya kunitaka yeye! Always naibua mwenyewe mali mpya
Huwezi kuibua bila kukutana huyo utakaye mdate. Hao watu ni wataalamu wa hali ya juu kukunasa. Kwa kuwa unachepuka wewe ni mteja wa kuaminika tu.
 
Umevurugwa wewe
 
Unaweza kuta huyu jamaa wife wake hana hata tecno anatumia simu ya tochi...
b
Unaweza kuta huyu jamaa wife wake hana hata tecno anatumia simu ya tochi...
wege sana huyu. ye anazani bado mvulana tu kuishia kutekenya bint wa chuo na kuwaharibu tu badala ya kukomaza akili na kutatua changamoto za familia yake ye anawaza kugegeda. acha wamkomeshe na kumfilisi hadi dushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…