Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

Kwa mchepuko hauna raha wala amani maana hakujali naamini huumwi Sana ni hizi homa zetu za kawaida maana umeweza kuanzisha thread haya pata picha umeumwa hata wiki tu anatakiwa akuhudumie kwa kila kitu ataweza kweli huyo kukuogesha haya kwa Wife Ndo hivyo tena hakuna amani sisi tunakushauri tu mwisho wa siku wewe ndo hakimu wa kila kitu juu ya maisha yako mpaka sasa huna mtu anakupa amani raha utamani kurudi nyumbani mapema.Mtafute Mungu kwani kwake kuna amani na furaha ambayo haipatikani popote mengne yatakuja tu muombe akupe utulivu na hekima ya kusolve changamoto unazoziface
Bora mchepuko ana hata dakika tano za kunipa pole kuliko yule mzee wa busy yeye na ofisi na kazi ndo mungu wake na mme wake
 
Hata na yeye huko mkoani yupo na kijeba kingine, so maisha burdaaaani.
Bora umejitolea kuwa sponsor, mana ukitoa mungu anakuongezea.
I dont care hata abanduliwe na kila mtu
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Je niko sahihi?

Hongera kwa kuwa nazo. ATM isiyo kauka.

Kwa kiasi uko sahihi kuchepu na kuachana na huyo umdhaniaye hachepuki.

Hauko sahihi kuchepuka na mwanachuo, maana wamejaa humu na wamekusoma vizuri. Kwa jinsi wanavyoandika humu jamvi nakuhakishia watakugawana kama mpira wa kona.
 
Hongera kwa kuwa nazo. ATM isiyo kauka.

Kwa kiasi uko sahihi kuchepu na kuachana na huyo umdhaniaye hachepuki.

Hauko sahihi kuchepuka na mwanachuo, maana wamejaa humu na wamekusoma vizuri. Kwa jinsi wanavyoandika humu jamvi nakuhakishia watakugawana kama mpira wa kona.
Huwa sidate na mtu aliyeonesha nia ya kunitaka yeye! Always naibua mwenyewe mali mpya
 
Hayo ni mawazo yako! Kila kitu kina muda wake kutafuta hela hakuzuii kuwa kwenye mahusiano! Half usiwe unajudge mtu usiyemjua yawezekana income yako haifiki hata robo ya kwangu
sina kabisa io income
komaa na kuhonga basi
ila kumbuka hakuna snitch kama pesa ukiwa nae fanya vya maana akiondoka atakutesa usiku na mchana
 
Huwa sidate na mtu aliyeonesha nia ya kunitaka yeye! Always naibua mwenyewe mali mpya
Huwezi kuibua bila kukutana huyo utakaye mdate. Hao watu ni wataalamu wa hali ya juu kukunasa. Kwa kuwa unachepuka wewe ni mteja wa kuaminika tu.
 
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu

Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana

Tatizo lake haridhiki,anaomba helq kila sekunde hata umpe kiasi gani bado kesho atakuja akuombe

Unaweza mpa pesa nyingi tu ila kesho akarudi kutaka nyingine

Mpaka najiuliza hivi huyu hajui kuwa tuko kipindi cha bwana jpm??

Kilichonikera ni lastweek nimetoka kumlipia kodi yake kwenye nyumba anayokaa pesa nyingi vi mil kadhaa

Sasa cha ajabu jana nimeenda kupumzika kwake nikiwa naumw kweli na anaona hilo ila asubuh alipomka bila kujali naumwa na nimetoka kumlipia kodi juzijuzi tu eti akaniambia anaomba nimnunulie Iphone 7!!!!

Nilimwangalia na kukubali kishingo upnde ila nimepanga nikipona naenda kwa mwenye nyumba na kumweleza nafunga ile nyumba maana mimi ndo mpangaji na sio yeye

Na kwa sababu kila kitu kilichopo ndani ya ile nyumba nimenunua mimi nimepanga nimtolee nguo zake zikiwa kwenye begi na kuziweka nje kisha nibadili vitasa na funguo za milango yote

Akija atakuta vitu nje na mimi ntakuwa nishabadili line zangu kwa siku mbili tatu

Baada ya hapo ntatulia kdg kama wiki au mwezi kisha niibuke vyuoni nione kama ntapata mchepuko mpya uliokosa mkopo unitunze

Nb: nakuwa na mchepuko kwa sababu hatuko katik mahusiano mazuri na wife na isitoshe yuko mkoani

Je niko sahihi?
Umevurugwa wewe
 
Unaweza kuta huyu jamaa wife wake hana hata tecno anatumia simu ya tochi...
b
Unaweza kuta huyu jamaa wife wake hana hata tecno anatumia simu ya tochi...
wege sana huyu. ye anazani bado mvulana tu kuishia kutekenya bint wa chuo na kuwaharibu tu badala ya kukomaza akili na kutatua changamoto za familia yake ye anawaza kugegeda. acha wamkomeshe na kumfilisi hadi dushe.
 
Back
Top Bottom