Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

Hongera. Lakini ukweli ni huu,kuna wanawake ni afdhali uishi na kuku. Maana kuku hujali sana ratiba ya kuingia na kutoka bandani au juu ya mti.

Muda wa mwanaume kutoka kazini, yeye atakuwa saloon kwa rafiki yake wanagonga story. Ndo kwanza anamsaidia rafikiye kuchagua mchele ampikie mumewe wakati kwake kumenuna.

Wanawake wa aina hii wako wengi sana. Nj siri za wanaume ndizo huwafanya waonekane wanawake.
 
Unatoka kazini jioni umechoka, unataman ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakin ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawil mbele dah!
Nin kimekukuta mkuu
 
Unatoka kazini jioni umechoka, unataman ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakin ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawil mbele dah!
[emoji23][emoji23]kazini kwako wakufuruge kichwaa,hata bebi akufuruge ubongo BEER TAMUUU ,Nikupitia Bar tu ..........Ila Cha msingi tuwavumilieni hayo Ni madhaifu yap
 
Hapo ni kuweka sheria tu ukifika mda huu chai bado sinywi ikifika muda huu chakula bado sili tena ikifika usiku hivyo hivyo
Lakini na ww uhakikishe kila kitu kipo ndani unga mchele mafuta sio unarudi ndio utoe hela ya unga halafu Unalalamika msosi unachelewa

Kuoa ni kukaribisha umasikini
 
Hii kauli hata mimi ilikuwa inanikera ,yaani uumize akili kutafta hela ,Pia ufikirie cha kupika wakati yeye ndo mama mwenye nyumba Aisee mimi nilipigana sana na hii kauli mpaka sasa haniulizi maana sina muda huo wa kuwaza chakupika ni jukumu lake ,jukumu langu nikutafta pesa tu
 
Unatoka kazini jioni umechoka, unataman ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakin ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawil mbele dah!
Kwani mlilazimishwa kuoa? Vuneni mlichopanda na pambaneni na hali zenu. Ndio wanawake wa leo walivyo ivyo. Na ukifulia hata nyumbani ukirudi hautamkuta.
 
bora ww m nkifka ndio naweza amua kusonga ugal la svyo ntakula sa tano
Kwani mlilazimishwa kuoa? Vuneni mlichopanda na pambaneni na hali zenu. Ndio wanawake wa leo walivyo ivyo. Na ukifulia hata nyumbani ukirudi hautamkuta.
 
🀣🀣 hivi mbona mnatutisha ambao hatujaoa! Kumbe hizo ndo kila rangi mnazoona..!! Dah! Maisha haya hatari sana.
Hakuna mke wa kuoa siku izi. Hasa kwa sisi tunaopenda warembo.. wanajikuta sana hao watu..
 
Kwani mlilazimishwa kuoa? Vuneni mlichopanda na pambaneni na hali zenu. Ndio wanawake wa leo walivyo ivyo. Na ukifulia hata nyumbani ukirudi hautamkuta.
 
Kwani amemtaja jina? Na yeye si anonymous? Ni vizuri watu ku-share changamoto kama hizi ili watu wajifunze kwa wengine.
 
Ndio wanawake wa leo walivyo ivyo. Na ukifulia hata nyumbani ukirudi hautamkuta.
 
Wanawake wa siku hizi, atakutetemekea ivyo kama una $$$ nzuri kweli kweli. Ama sivyo, sheria zako anaziona za kizuzu tu. Na ukimletea za kuleta, anakutaftia mume mwenza asiyemwekea sheria kali kama zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…