Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mbona wanaachana kila kukicha. Mimi siku hizi hata michango ya harusi sitoi tena. Ndoa ni wiki kadhaa, miezi kadhaa, yani hazidumu tena
Mnaoa kisa chura kubwa [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanaachana kila kukicha. Mimi siku hizi hata michango ya harusi sitoi tena. Ndoa ni wiki kadhaa, miezi kadhaa, yani hazidumu tena
Salama salmini!Kumekucha Salama
Ukiwa kazini andika sms nataka kula hiki ama kile. Na nikikute juu ya mezq nikifika.bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU
Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu
huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
[emoji114][emoji2969]
Weka ratiba kabisa saa 11 aanze kupika mpka saa 1 vyakula vyote vipo tayari! Sio unakaa kizembe tu😅Unatoka kazini jioni umechoka, unatamani ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakini ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawili mbele dah!
Hahahahah hili swali lilikuwa linanikera sana hadi nikaanzishaga uzi humu 😅!bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU
Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu
huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
[emoji114][emoji2969]
Huaga siamini haya niyaskiayo, yaan mtu ameshnda home tangu kumekucha na haumw lkn hapiki mpka unaporudi!? Inashangaza mnooo, sjawah kuliamini hili swala. Na pesa ya chakula umetoa na bado mtu hapiki............mnawapataga wap hao wake zenu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ni mwanaume asiyejielewa pekee anaweza kuanika udhaifu wa mke wake mtandaoni
Tujifunze, siri za ndani hazifai hata kufika sebuleni, tuzimalize ndani kwa ndani
Wanawake ni waelewa sana ukienda nao kwanza kwa kuwatibu kisaikolojia. Nenda nae taratibu, mweleweshe atakuelewa. Yamkini tabia hii alijijengea mwanzo mlipooana/kuanza kuishi pamoja na hukuikemea, akachukulia kama ndo lifestyle unayopendezwa nayo
Jifunze ulikosea wapi, then rekebisha makosa yako/Yenu
Tena hapa kwa sababu tupo mwisho wa mwaka, pangeni pamoja mipango yenu ya mwaka kesho, na hilo liwe moja ya ajenda yenu
Ova
Nakazia! Hawa viumbe wakati mwingine inabidi uvae uso wa mbuzi!Weka ratiba kabisa saa 11 aanze kupika mpka saa 1 vyakula vyote vipo tayari! Sio unakaa kizembe tu😅
Unafikiri na sisi hatuchoki kuwaza chakula cha kupika. Mwingine anajibu anataka kula nini maana unakuta kazini kala miwali na jioni tena miwali inakinaishaHahahahah hili swali lilikuwa linanikera sana hadi nikaanzishaga uzi humu [emoji28]!
Kipindi ninamfanyia probation moja ya waliokuwa wapenzi wangu miongoni mwa kero ambayo ilinifanya nijiengue ni hii! Yani mwanamke anakuja kukuuliza eti tunapika nini mambo ya hovyo sana [emoji28]
Hahahhaa mi nataka kula “chicken fried rice” unaweza pika hio? Iwe mexican dishUnafikiri na sisi hatuchoki kuwaza chakula cha kupika. Mwingine anajibu anataka kula nini maana unakuta kazini kala miwali na jioni tena miwali inakinaisha
Kuna youtube hakuna kinachoshindikana. Hata ukitaka chinese dishes.Hahahhaa mi nataka kula “chicken fried rice” unaweza pika hio? Iwe mexican dish
😂😂😂. Na mimi nakuangalia ww uliyeingia kwenye ndoa sababu eti jamii inasema lazima mtu uoe.. HALAFU HATA HELA YA HARUSI HAUNA UNANICHANGISHA MIMI.. Baada ya muda ndla inavunjika na jamii hio hio inakucheka ndoa ikivunjika.. upumbavu siku hizi ni kuoa tu bila mpango na wengi ndio mmefanya ivyo. Tunawaangalia tu.Unasisitiza kauli yako unazani unaingea point mwenyewe kumbe upumbavu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Uvumilivu wakati mtu unateseka. Unapata stress kila siku.. eti uwe mvumilivu? Of course lazima ufe mapema sababu ya kuwa na maishi yenye stress kila siku. Solution ni kugoma tu kuoa, na ndio watu tumeamua ivyo siku izi. Yani mpaka kieleweke... Otherwise, ni mtindo wa kuendelea kutafta pesa na bahati nzuri, pesa inatukubali kweli kweli watu ambao hatujaoa.Bas muwe wavumilivu msje kutulilia huku, na kutujumuisha "oooh wanawake wamefanya haya oooh wamefanya yale". Hahahahahahah! Kweli ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Farao, baadae "ooh wanaume tunakufa mapema, wanawake wanabaki" mnavumilia mshumaa uishie kiganjani