Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

Kajula simkubali maana katika kipindi chake alikazana sana kuvipa promo vitu vidogo na kuyaacha mambo ya msingi ila kwa hili nadhani mnamuonea. Yupo huu msimu wake wa 3 kama sikosei, Simba haikuwa na hizi issue na imeachana na wachezaji kibao haukusikia inasumbuana nao. Kesi moja au mbili kama zilitokea zilimalizwa haraka. Inakuwaje haya yote yaibuke kipindi hiki wakati anaondoka?

Unapokuwa kipindi cha mpito cha kuachia madaraka, hata majukumu yako yanapunguzwa na Majula amekuwa kwenye kipindi cha mpito kwa miezi mingapi sasa?

Inaonyesha kuna mtu au watu wanataka kumchafua asipate mlango wa kurudi, hivi vilabu vimejaa fitna. Nayasema haya nikiamini Kajula alipewa majukumu makubwa kuliko uwezo wake au hakuwa na uzoefu sahihi wa kuyatekeleza ila kwa hili nadhani kuna mchezo mchafu unafanyika.
 
magori pamoja na kuwa mkurugenzi kwenye taasisi kama NSSF Bado anaishi kizamani namna hii? yaani anashindwaje kujua utaratibu wa kawaida kabisa wa usajili?
 
magori pamoja na kuwa mkurugenzi kwenye taasisi kama NSSF Bado anaishi kizamani namna hii? yaani anashindwaje kujua utaratibu wa kawaida kabisa wa usajili?
Crescentius Magori ndiyo CEO wa Simba SC? Crescentius Magori ana Cheo cha Kiutendaji na Maamuzi ndani ya Simba SC? Nikiwa nasema Kutwa hapa kuwa kama unajua hujauelewa Uzi wa GENTAMYCINE au huna AKILI KUBWA ya kuweza Kuchangia Kiuchambuzi Uzi wangu basi ni kheri tu uwe unakaa pembeni unawaachia wenye UPEO MPANA akina Bila bila, Arovera, rodrick alexander etc wauchangie / wachangie.

Imeisha hiyo.......!!
 
kwani ile
ile kamati ya usajili ilikuwa chini ya nani ?
 
Tajiri anachoangalia ni biashara zake kwenda anavyotaka, masuala ya matokeo ya Simba uwanjani kawaachia mashabiki watajua wenyewe🤣
Biashara itaendaje kw timu ambayo haifanyi vizuri. Kama wewe ndo CEO wa kampuni utakubali kuendelea na project ambayo yenyewe inazama wewe upo tu.?
 
hiki Kitendo kinatosha Kuonyesha kuwa Simba SC haina tu shida kwa upande wa Wachezaji walionao kwa sasa ( wa hovyo hovyo ) lakini pia hata Uongozi wa Simba SC nao pia ni wa hovyo hovyo.
Bado hujasema, mpaka useme 😛 😛 😛 Dadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…