SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kajula simkubali maana katika kipindi chake alikazana sana kuvipa promo vitu vidogo na kuyaacha mambo ya msingi ila kwa hili nadhani mnamuonea. Yupo huu msimu wake wa 3 kama sikosei, Simba haikuwa na hizi issue na imeachana na wachezaji kibao haukusikia inasumbuana nao. Kesi moja au mbili kama zilitokea zilimalizwa haraka. Inakuwaje haya yote yaibuke kipindi hiki wakati anaondoka?Kuwa na CEO au kocha kutoka Tanzania ni tatizi sana. Just imagin
1. Kibu Denis shida
2. Awesu Shida
3. Mashaka Shida
4. Manura
Na yule wa coastal ndani ya muda mfupi timu inakuwa na migogoro na wachezaji zaidi ya watano. Simba haijawahi kuwa na migogoro namna hii. Tangu nianze kufuatilia football.
Kajula is behind these
Unapokuwa kipindi cha mpito cha kuachia madaraka, hata majukumu yako yanapunguzwa na Majula amekuwa kwenye kipindi cha mpito kwa miezi mingapi sasa?
Inaonyesha kuna mtu au watu wanataka kumchafua asipate mlango wa kurudi, hivi vilabu vimejaa fitna. Nayasema haya nikiamini Kajula alipewa majukumu makubwa kuliko uwezo wake au hakuwa na uzoefu sahihi wa kuyatekeleza ila kwa hili nadhani kuna mchezo mchafu unafanyika.