Nikishatofautiana na WIFE, Michepuko naiona kama takataka

Umempa Ushauri mzuri sana!Mungu anijaalie mume mwenye ufahamu kama huu
 
😂😂😂Sijasema uwe wewe,nimesoma mwenye ufahamu huo ulioushauri
 
Wakuu,

Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo.
(Sio cheating, ni mambo tu kimaendeleo ya familia)

Mungu ametenda😂😂😂😂😂
 
Sijakataa ila sio kosa ni la kusamehe
Imagine unagundua mmeo nae ni wife wa mtu,utasema eti akuombe msamaha akupeleke vacation nawe umsamehe kweli?
 
Reactions: LD
Sijakataa ila sio kosa ni la kusamehe
Imagine unagundua mmeo nae ni wife wa mtu,utasema eti akuombe msamaha akupeleke vacation nawe umsamehe kweli?
Sorry to say this but you lack Serenity dear. Hapa deep kaandika kwamba mke wake kagundua yeye ni mke wa mwanaume mwenzake??...the ans is no! And ukinisoma kwa makini utaona nimetoa ushauri kulingana na jambo aliloandika mleta mada. Na kama ukanisoma vizuri..nimeaddress ushauri kwake specifically. Na chini nikaweka tahadhari kabisa mpenzi wangu. Though I do agree with you that what I wrote, aint an escape ground for every mistake JF men make to their wives. Lets end this arg here...it aint necessary babe...
 
Shikilia hapo hapo, Kama ulishindwa kuomba msamaha mwanzoni kausha kabisa, Ila mfanyie suprise yoyote ya zawadi atafurahi naimani unajua anapenda nini, ukijishusha kwasasa utaharibu kilakitu.
 
Shikilia hapo hapo, Kama ulishindwa kuomba msamaha mwanzoni kausha kabisa, Ila mfanyie suprise yoyote ya zawadi atafurahi naimani unajua anapenda nini, ukijishusha kwasasa utaharibu kilakitu.
Naenda nae mdg mdg,
Nafikiria wikend nimtoe out kdg[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: jo5
Sasa mkuu kama wewe ndiye mwenye makosa kwa nini umegeuzie kibao mwenzio? Jishushe tu mkuu umwombe radhi sana my wife wako haitakugharimu kitu! Ona sasa unaishi kama kunguru wala hupafurahii tena kwako! Kuna mwamba hapo ameshauri kwamba umtoe out, naunga mkono hoja tena kama unaweza unaweza kumpeleka hata Ngorongoro au Zanzibar akale life japo la siku 2 hivi mkayajenge vizuri! Mwaka bado mpya huu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…