kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Unapikaga saa ngapi ?Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
UchafuHili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
UchafuHili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Mchana mkuuUnapikaga saa ngapi ?
Ndiyo mkuuNi kichwa tu?
Huwa nasuka kichwa kikiwa kisafiKichwa kina MBA hicho binti wangu
Asante mkuuMaybe ngozi inakuwa kavu sana….! Jitahidi kupaka mafuta ya maji hasa ya nazi kichwani kwenye ngozi husaidia sana!
Sina picha mkuuPicha ya kichwa tafadhali 😐😐
Nikinyoa sipendeziAchana na kusuka..
Huko sipati changamoto mkuuNa ukinyoa vumba napo uandike thread jinsi mbususu, imepata viupele
Dawa yake niniUchafu