kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #21
Dawa yake nini sasa mkuu?Tatizo Lako Si Ndio Hilo Sasa La Kichwa Kuwasha Ukisuka,,Unahitaji Tatizo Gani Tena Binti?
Dawa yake nini sasa mkuu?Tatizo Lako Si Ndio Hilo Sasa La Kichwa Kuwasha Ukisuka,,Unahitaji Tatizo Gani Tena Binti?
Tembelea madaktari wa ngozi watakushauri utumie mafuta yapi uache yapi ili kuondokana na hilo tatizoHuwa nasuka kichwa kikiwa kisafi
Asante mkuu wanapatikana wapi?Tembelea madaktari wa ngozi watakushauri utumie mafuta yapi uache yapi ili kuondokana na hilo tatizo
Hospital hasa kubwa... Utawaeleza shida yako watakuuliza maswali au kukupimaAsante mkuu wanapatikana wapi?
HeheheNa ukinyoa vumba napo uandike thread jinsi mbususu, imepata viupele
Sawa ntafanya hivyoHospital hasa kubwa... Utawaeleza shida yako watakuuliza maswali au kukupima
Pga upara wako kama wa zidane alaf na zle bangili za masikion kama nakaaya utapendeza weee pc kali utakuja kunishukuru,Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Hapo Sawa,,Jitahidi Kuwaona WataalamuDawa yake nini sasa mkuu?
Asante mkuu nitafanya hivyoHapo Sawa,,Jitahidi Kuwaona Wataalamu
Asante mkuu nitafanya hivyoHuenda una mzio (allergy). Nenda hospitali
Njoo PM nitakuwa nakukunaHili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Asante ntajikuna mwenyeweNjoo PM nitakuwa nakukuna
Wwe nae njoo bhanaAsante ntajikuna mwenyewe
Zote zinaniletea hiyo shidaukisuka nywele zako au ukimiksi na rasta? maana rasta na manywele bandia huwa kwa wengine yana reaction na ngozi zao....
🙄🙌🙌🙌Wwe nae njoo bhana
Huwa nasuka kichwa kikiwa kisafiUchafu