Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku.
Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati tsh. 2,000, mabasi na malori iwe tsh. 5,000. Kiukweli viongozi wangeongezea vyanzo vya mapato yao.
Pale mlimani piga ua lazima watu wapande. Hakuna wa kukwepa, so uhakika upo mkubwa sana wa kupiga pesa. Hii nchi tulichelewa sana. Sasa tunapaswa kukimbia badala ya kutembea.
Naendelea kuangaza angaza kuona vyanzo vingine vya mapato na tozo mbalimbali.