Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

"Hili nalo mkalifanyie kazi.."
 
Kwa hiyo kodi zetu zitatumika kununulia v8 na kulipia masurufu ya wakubwa siyo?
 
Hili nalo mkalitizame
 
Umesoma wapi habari za Kitonga Tunnel? Au umechanganya uzi?
 
Daaaah we jamaa,nimecheka Sana[emoji1787],wasipasahau na wami...wafanye fasta KABLA daraja jipya halijafunguliwa..
 
Yaani Tanzania ukifa na stress umejitakia mwenyewe 😀
Kabisa na viongozi wamelijua hilo vizuri tu........wakati we unakesha kuwadhihaki kwa kuiga sauti na uongeaji wao, wao yao ya tozo yanaenda tu. Raha sanaaaaa!
 
Unapost ukiwa umekaa kwenye sofa sebuleni kwa shemeji aliyemuoa Dada yako unasubili chajula cha mchana,
Unashindwa kujua ugumu anaoupata kuwahudumia nyie kula kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…