Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

Na hili ñadhani mwende mkalitizame mweshmiwa waziri wa tozo.
Hata pale
 

Pumbavu kabisa ! Chanzo kingine utozwe 1000 kupita corridor ya kuendea chooni kwako ku offload makande uliokula ! Kenge [emoji1656]
 
Wapanue ile Barabara kwanza,ndio ianze kutozwa hiyo tozo.Itapendeza sana.....
 
Vijana wa ccm walivyo wapumbavu mlima autengeneze Mungu wewe ubuni vyanzo vya mapato ambavyo hata shilingi moja hujawekeza.
 
Mimi nilisema kwanini kusiwe na kodi za mchezo kitaifa kila wiki unatoka mkoa mmoja (wananchi wanapewa minoti)🤣
 
Unapost ukiwa umekaa kwenye sofa sebuleni kwa shemeji aliyemuoa Dada yako unasubili chajula cha mchana,
Unashindwa kujua ugumu anaoupata kuwahudumia nyie kula kulala.
Hasira za wewe kutokuolewa usilete kwa wengine
 
Ha ha ha

Ina maana mku tanzania imegeuka kuwa nchi ya kutoza toza kila kitu, tumefikia huko.
 
Mm nashauri kila mwenye mke/mpenzi/mchepuko awe analipia 2000 kila anapomnyandua mpenzi wake hiyo ni pesa ya uchafuzi wa hewa maana wengi wakinyanduana huwa wanajamba iwe kabla au baada ya tendo.
Ndugu zangu hii nchi ni tajiri na tulicheleweshwa sana na wapinzani..))
 
ni mlima kitonga uleule au una maanisha milima mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…