bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
Wakati wewe unahangaika kutoa 4,000 mwanaume anakuja kuweka 400,000Jaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.10000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
kwa hiyo laki nne nayo pesa mkuu?Wakati wewe unahangaika kutoa 4,000 mwanaume anakuja kuweka 400,000
Yes kwangu mimi pesa nyingiiii sana.kwa hiyo laki nne nayo pesa mkuu?
nadhani laki nne ni hewa kwako wewe!kwa hiyo laki nne nayo pesa mkuu?
JF hiinadhani laki nne ni hewa kwako wewe!
mshukuru Mungu hata kwa iyo elfu..... maana kuna watu hata ya vocha hawana!Mimi sikumbuki lini mara ya mwisho nimetoa zaidi ya elfu kumi
Hio 100 ulikuwa unaitaka ya nini?Me kuna siku nilitamani nitoe mia (100)tigopesa...na ingekuwa inatoka wala nisingejali...
Niongezee 550 yangu nipande mwendokasi,.Hio 100 ulikuwa unaitaka ya nini?
πππNiongezee 550 yangu nipande mwendokasi,.