Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Nilishatoa mpaka benki elfu 4000. Mara kibao tu
Benki gani ulitoa 4000? Nakumbuka tukiwa chuo tulikuwa tunafanya mchezo wa kijinga sana. Kwenye akaunti ikiwepo hela yaijafika 10,000 (ATM tulikuwa tunatoa mafungu ya 10,000 tu) mfano una 8000, tunaenda dirishani tunadeposit 13,000 then unaenda ATM unatoa 20,000[emoji23][emoji23]
 
Sasa hata kama akaunti ina milioni mbili,una shida ya 2000 chap, kwanini usitoe? ..sasa ukijishaua utoe labda 30000...si matumizi mabaya ya rasilimali fedha?mi natoa kiasi chochote nachohitaji bila kujali nna akiba kiasi gani wala wakala ananionaje..kwani hata hiyo 2000 anajua nimeipata vipi?
 
Sasa hata kama akaunti ina milioni mbili,una shida ya 2000 chap, kwanini usitoe? ..sasa ukishaua utoe labda 30000...si matumizi mabaya ya rasikimali fedha?mi natoa kiasi chochote nachohitaji bila kujali nna akiba kiasi gani wala wakala ananionaje..kwani hata hiyo 2000 anajua nimeipata vipi?
Hata kutoa 2000 asubuhi, mchana unatoa tena na jioni tena ni matumizi mabaya ya rasilimali maana charges zitakuwa kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom