Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Hebu, hiyo aibu unamwonea nani sasa? Wakati wa machuo huko nilikua napanga foleni kubwa tu NMB nachomoa buku 5 tu natoka nimeishika na card huyoo
 
kuna kitu nimejifunza mkuu. hela kama yangu nisimwonee mtu aibu wala nini!
 
Back
Top Bottom