Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
[emoji122][emoji122][emoji122]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Consult Mariam Biriani
ATM zingetoa mpaka buku tungeshuhudia mengi!NMB zamani tulikuwa tunatoa hadi buku
Acha tuu...😅Lipi tena?
KabisaATM zingetoa mpaka buku tungeshuhudia mengi!
UnazinguaAcha tuu...😅
kwa hiyo laki nne nayo pesa mkuu?
Imeanza miaka ya karibuniDuh mimi nikajua 10,000 ndio minimum
Maana yake unatoa 2000 kwa dharula ya chap,lakini unajua kuna sehemu eidha unaenda kuchukua au umeacha kiasi nyumbani,hiyo ya kuchukua mchana na jioni ,ina maana hujitambui unahitaji nini na wakati gani,fedha inahitaji nidhamu ya matumizi.Hata kutoa 2000 asubuhi, mchana unatoa tena na jioni tena ni matumizi mabaya ya rasilimali maana charges zitakuwa kubwa zaidi
Ila inawezekana aina ya akaunti inachangia piaDuh mimi nikajua 10,000 ndio minimum
ifyavene maghanga![emoji16][emoji16][emoji16]
Arm ukitoa buku kwenye foleni wote wanajua maanake Italia mara moja tu taaa hela chini....ikitoa 100,000 utasikia tatatatstatatatata dk nzima!Kabisa
Nitakuambia siku nyingine....unikumbushe eee Mr RRONDO 😉Unazingua
Arm ukitoa buku kwenye foleni wote wanajua maanake Italia mara moja tu taaa hela chini....ikitoa 100,000 utasikia tatatatstatatatata dk nzima!
Ni kweli mkuuMaana yake unatoa 2000 kwa dharula ya chap,lakini unajua kuna sehemu eidha unaenda kuchukua au umeacha kiasi nyumbani,hiyo ya kuchukua mchana na jioni ,ina maana hujitambui unahitaji nini na wakati gani,fedha inahitaji nidhamu ya matumizi.
Hizi akaunti nyingi 100,000 haitoki inabaki balance...unaona statement inasema available balance 1,500/-. Actual balance 101,500! Utatamani uingie ndani udai hela zakoIla inawezekana aina ya akaunti inachangia pia
Umenikumbusha pale posta mpya Benjamin tower ATM ya chini karibu na benki ilikuwa inatoa hadi buku, daah nimezitoa sana buku buku kipindi hicho.Nilishatoa mpaka benki elfu 4000. Mara kibao tu
Hizi akaunti nyingi 100,000 haitoki inabaki balance...unaona statement inasema available balance 1,500/-. Actual balance 101,500! Utatamani uingie ndani udai hela zako
Kuna Kadi nimeitelekeza NBC ngoja nikaifufueUnasema laki kubwa hivyo, mimi ilikuwa 10,000 kwenye akaunti yangu moja hivi aisee ilikuwa inaniumaa