Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Jaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.5,000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
Aibu yanini sasa na pesa ni ziko, Hata ukitoa Sh100 lakini ni yakwako. Maisha haya unamuonea mtu haya. Unatoke nyanda zajuu au.?
 
Unaogopa kutoa pesa yako? Kwa nini uogope mi napaki gari mbele ya kibanda cha mpesa na raia zimejaa hapo nampa wakala Buku Mbili aziweke kwenye akaunti yangu.

Kwani 999,999-1=?
 
Ahahaha..Hujakutwa na shida ww.Nakumbuka kipind tuko chuo kuna mshkaji angu mmoja ilimbid apange folen nmb ndani akatoe 500 (mia tano) taslim kwa bank teller kisa akaumd ilikua inasoma 2000 ambayo ilikua haitoki kwa ATM.

sasa ww 4000 kwa wakala unaona soo???
 
Unatoa vizuri tu, si ndio iliyopo kwenye simu..
 
Raha Ya kutoa hela kwa wakala.. Unamtajia hela alafu cash hana.. Na ukute demi mkali lazima akukariri tu
 
Bora kwa wakala. Ukute una gari kali halafu unaweka mafuta ya elf tano! Bahati mbaya unahudumiwa na bonge la mrembo mbaya zaidi anakwambia umesahau risiti.
 
5000 huwa naona aibu, nachofanya ni kwenda kwa wakala ambaye hanijui
 
Back
Top Bottom