Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna branch karibu na home kipindi cha jk nilikuwa napeleka hela na kutoa kwa mifuko yaani maburungutu haswa hayatoshi mifuko ya surual lazima nibebe kama parcel, sasa miguu juu hapo kati kuna elfu elfu hamsin tuu kwa a/c halafu kila nikijaribu atm card inagoma! Njaa imebamba ikabidi nizame ndani nitoe 45000/=, yule teller kaniangalia nikamkaushia kama simjui vile niko busy kwa simu! Yaani huyu magu huyu katufanya watu wengine tumekuwa kama midoli!
 
Ukitaka kujua sauti ya mwanaume kuwa ni ya kinyonge, ww msubirishie akienda kufanya miamala arafu akute kuna wakala aina ya ke,


[emoji117]Utasikia niwekee buku ili ninunue mda wa maongezi hata kama hajaulizwa..

[emoji117]hivi nikitoa book inawezekana maana naitaji pesa ya maji, nahisi kiu.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Una matatizo Mkuu...!
Je utaweza kununua umeme wa Buku wewe...!
 
Hakuna mtu mwenye sauti ndogo kama anaetaka kutoa buku(1000) kwa wakala
 
Jaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.5,000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
Unaona aibu kuchukua hizo pesa, au unamuonea aibu teller?
Ndiyo nyie huona aibu kwa madanga na kutoa hongo la kutisha.
Unapomnunulia gari au kumjengea nyumba, danga huyo huyo wenzio wanasepa naye kwa buku mbili.
Ona sasa! Unaona aibu kuchukua kiasi hicho cha pesa wakati kila mtu ana maisha yake na hakuna mtu aliye nyuma ya mgongo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…