Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

Nilikatazwa kutumia mkono wa kushoto kwa kuandikia na kulia chakula walifanikiwa kwa kiasi... lakini bado nautumia sana kwa sehemu kubwa kama matumizi ya kisu, kuswaki, kuchana nywele kuandika lakin mwandiko mbaya n.k
 
walinambia tumekuzaa bila maambukizi, itakuwa ni ajabu na fedheha kupata maambukizi na kufariki kabla yetu "achana na mbususu kijana" ila hadi leo sijaacha nakimbizana nazo tu japo kwa siri mnooo
 
Chai,
Mimi kuna vitu niliacha ila baada ya kuwa free nimeamua kuvirudia ingawaje huwa nakumbuka kwamba sio vizur
 
walinambia tumekuzaa bila maambukizi, itakuwa ni ajabu na fedheha kupata maambukizi na kufariki kabla yetu "achana na mbususu kijana" ila hadi leo sijaacha nakimbizana nazo tu japo kwa siri mnooo
Cheza kwa step
 
Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala nishakatazwa sana mpaka sasa ila sijaacha je wewe?
Kua na marafiki
Kutembea majumbani kwa watu
Kula majumbani kwa watu
Kukaa huko huko mpaka nasahau km kuna nyumbani naanza kutafutwa napatikana usiku tena wamehangaika sana kunitafuta

Nafika nyumbani naulizwa ulikua wapi?
Najibu kwaa rafiki yangu fulani
Naambiwa yaan ndio umehamia huko?
Hujaonekana nyumbaani siku nzima kwanini?
Huyo fulani ndie anaekuharibu?

Kuanzia leeo
Marufuku kua na marafiki
Marufuku kushinda majumbani kwa watu
Marufuku kula majumbani kwa watu
Marufuku kutembea majumba ya watu
Marufuku kuleta marafiki hapa nyumbani
Marufuku marufuku marufuku km zote


Kuanzia hapo mpaka leo sina marafiki sitembei nyumba za watu sili kwenye nyumba za watu nikila basi ni ile mtu namjua haswa

Sijaacha kufuata hayo makatazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…