Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakula jeuri yako 😂Jeuri
kutokwenda kanisani
😂Waliniambia nisiwe mlafi, lakini hadi leo, chakula kikifika mbele yangu kinapotea ghafla.
Chai,Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha
Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa
Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala nishakatazwa sana mpaka sasa ila sijaacha je wewe?
Mimi kuna vitu niliacha ila baada ya kuwa free nimeamua kuvirudia ingawaje huwa nakumbuka kwamba sio vizur
Bila shaka hiyo ni nyeto.Mimi kuna vitu niliacha ila baada ya kuwa free nimeamua kuvirudia ingawaje huwa nakumbuka kwamba sio vizur
Wakupigwa wewkutokwenda kanisani
kufuga minywele mirefu
Cheza kwa stepwalinambia tumekuzaa bila maambukizi, itakuwa ni ajabu na fedheha kupata maambukizi na kufariki kabla yetu "achana na mbususu kijana" ila hadi leo sijaacha nakimbizana nazo tu japo kwa siri mnooo
Hahahah! Sikumbuki kabisa
Kua na marafikiKingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala nishakatazwa sana mpaka sasa ila sijaacha je wewe?