Kwamba uliua mtu mmoja , ukawapa chakula, au ukawavisha, au ukawasaidia kwa namna yoyote masikini wawili, basi utaingia mbinguni?Mungu hayuko hivyo, anapima kwenye mizani kuwa mema na maovu yapi ni mengi, hii ndio maana ya kufanyiwa HESABU siku ya hukumu