H HIKARI JF-Expert Member Joined Aug 7, 2022 Posts 643 Reaction score 804 Oct 14, 2024 #41 ielewemitaa said: Mungu hayuko hivyo, anapima kwenye mizani kuwa mema na maovu yapi ni mengi, hii ndio maana ya kufanyiwa HESABU siku ya hukumu Click to expand... Kwamba uliua mtu mmoja , ukawapa chakula, au ukawavisha, au ukawasaidia kwa namna yoyote masikini wawili, basi utaingia mbinguni?
ielewemitaa said: Mungu hayuko hivyo, anapima kwenye mizani kuwa mema na maovu yapi ni mengi, hii ndio maana ya kufanyiwa HESABU siku ya hukumu Click to expand... Kwamba uliua mtu mmoja , ukawapa chakula, au ukawavisha, au ukawasaidia kwa namna yoyote masikini wawili, basi utaingia mbinguni?
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 Oct 14, 2024 #42 HIKARI said: Kwamba uliua mtu mmoja , ukawapa chakula, au ukawavisha, au ukawasaidia kwa namna yoyote masikini wawili, basi utaingia mbinguni? Click to expand... Sasa kwani Mungu hajui kuwa hakuna binadamu msafi? ndio maana kunafanyika Hesabu ili mazuri yakiwa mengi Mungu anakupa mema
HIKARI said: Kwamba uliua mtu mmoja , ukawapa chakula, au ukawavisha, au ukawasaidia kwa namna yoyote masikini wawili, basi utaingia mbinguni? Click to expand... Sasa kwani Mungu hajui kuwa hakuna binadamu msafi? ndio maana kunafanyika Hesabu ili mazuri yakiwa mengi Mungu anakupa mema
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Oct 14, 2024 #43 Naunga mkono hoja.