GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Ninachokihitaji kiko sehemu ya Utangulizi wa Katiba ya JMT 1977,
Kuna maneno ambayo yamepewa kichwa cha MISINGI YA KATIBA.
Yanasomeka kama ifuatavyo.
MISINGI YA KATIBA
KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi
yetu jamii inayozingatia misingi ya UHURU, HAKI, UDUGU na
AMANI:
NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika
jamii yenye DEMOKRASIA ambayo
1.Serikali yake husimamiwa na Bunge
2.Bunge lenye wajumbe waliochaguliwa na linalowawakilisha
wananchi, na pia yenye
3. Mahakama huru zinazotekeleza wajibu
wa kutoa haki bila woga wala upendeleo wowote, na hivyo
kuhakikisha kwamba haki zote za binadamu zinadumishwa na
kulindwa, na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu: