Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.

Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha, hoho biringanya.

Nilitumia mbolea ya samadi na kupiga booster na dawa za kuua wadudu,mboga zilikubali sana ,kwa vile nilikuwa bachelor sikuwa na njaa, sikuweza kuzimaliza zile mboga, zilikuwa kama maonyesho ya nanenane,

Kila jioni nikirudi kazini nakuta wamama wanasubiri kuomba mboga, na ule ukame wa Dodoma!!
Nilichakata kuanzia wake za watu, wajane, na mahouse girl mtaa mzima, kweli Dodoma wana shida.

Waume zao wakashtukia mchezo siku moja nimelala asubuhi nakuta wahuni wamefyeka bustani yangu yote,nikahama mtaa kabla hawajanifyeka na mimi
Wangekukata kikojoleo.
 
Kwanini wahenga waliweza kuishi na wake zaidi ya mmoja na wakaelewana kwa muda mrefu? Walifundwa.

Pitia uzi kwa kubofya hapo chini ujifunde kwa kina na upana zaidi kuhusu wanawake / wanaume 👇🏾

 
Back
Top Bottom