GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtani wewe ni fisi maji.Na wakitaka nifutahi zaidi nawaomba Watunisia hawa Waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy ( Kisasi hakina Huruma ) na kwakweli Watunisia leo wasio na Huruma kwa Tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
Sijui kwanini toka uvungu wa moyo wangu napenda majitu makorofi🤣🤣Kuna Uzi nimeuanzisha huko na Nimekutagi Mhaya Mshamba ( Mbwiga ) mkubwa Wewe.
Halafu unajua / unatambua kuwa moja ya Characters za Watu Genius ni kuwa na Kasoro fulani isiyorekebishika Kiasili japo inaweza tu Kupungua / Kupunguzwa kwa Ushauri wa Watu au Maombi ya Viongozi wa Dini mbalimbali kutokana na Imani yake husika?Sijui kwanini toka uvungu wa moyo wangu napenda majitu makorofi🤣🤣
Halafu unajua / unatambua kuwa moja ya Characters za Watu Genius ni kuwa na Kasoro fulani isiyorekebishika Kiasili japo inaweza tu Kupungua / Kupunguzwa kwa Ushauri wa Watu au Maombi ya Viongozi wa Dini mbalimbali kutokana na Imani yake husika?
Uzuzu nilionao pamoja na kuwa 'Genius' ni Upopoma kupenda mno 'Mbunye' na Kuichukia Klabu ya Yanga na wale Watu ambao nawajua ni wana Yanga SC.Nakubaliana nawe.
Iko hivi; kwa upande mmojs jiniaz ni bora sana lkn kwa upande wa pili huwa ana uzuzu flani...fuatilia utajua
Ongezea na misifa we ndezzi😂Uzuzu nilionao pamoja na kuwa 'Genius' ni Upopoma kupenda mno 'Mbunye' na Kuichukia Klabu ya Yanga na wale Watu ambao nawajua ni wana Yanga SC.
We utakuwa ndo ulimzuia Majaliwa kumuokoa rubaniNa wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
Usiku nimeota Utopolo wameshinda 1 na uwa ndoto zangu zinakuwa kweli.Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
Sema "ukiwa kama Mtanzania usiye na akili,. aka Popoma........"Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
Nyuma mwiko mbele mwikoDaima mbele nyuma mwiko
Hujaota 'Unawekwa' Mkuu?Usiku nimeota Utopolo wameshinda 1 na uwa ndoto zangu zinakuwa kweli.