MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
Kipofu kaona mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwiga kwa kizaramo maana yake ni rafiki na sio mshamba kama unavyo dhani wewe mkaazi wa Bunda vijijiniKuna Uzi nimeuanzisha huko na Nimekutagi Mhaya Mshamba ( Mbwiga ) mkubwa Wewe.
Na 'Nukudi' unayogawa hovyo maana yake nini kwa hicho hicho Kizaramo?Mbwiga kwa kizaramo maana yake ni rafiki na sio mshamba kama unavyo dhani wewe mkaazi wa Bunda vijijini
Naona leo umekosa usingizi.Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
Nikiota nitakwambia, hata wewe Dr. GENTAMYCINE kama ikitokea nikaota unawekwa nitakufahamisha ili uepuke kama utaweza.Hujaota 'Unawekwa' Mkuu?
GENTAMYCIME sio tu kuota bali amewekwa kwel na kawekeka kimenasia muda huu wanampuliza kipoe mana kimemuuna hatariNikiota nitakwambia, hata wewe Dr. GENTAMYCINE kama ikitokea nikaota unawekwa nitakufahamisha ili uepuke kama utaweza.