Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

Huyu bado anawatakia heri watunisia kwa yaliyowakuta huko kwao au kaamua kutulia akiwaza ndoa
 
Mbwiga kwa kizaramo maana yake ni rafiki na sio mshamba kama unavyo dhani wewe mkaazi wa Bunda vijijini
Na 'Nukudi' unayogawa hovyo maana yake nini kwa hicho hicho Kizaramo?

Usichoke Kuipromoti Wilaya ya Bunda kwa Mtu ambaye unajifanya Unamjua halafu hapo hapo Jinsia yake huijui.

Jitahidi uwahi Mirembe Mental Hospital ukatibiwe kwani Unajichoresha kuliko ujuavyo halafu nakusanifu na nilishakudharau tokea Kitambo tu.

Inaonyesha Wanaume wa Bunda wanakukuna mno kiasi kwamba umewapenda hadi Kuchanganyikiwa nao ndiyo maana huachi kuitaja Wilaya yao.

Hongera kwa hili.
 
Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
Naona leo umekosa usingizi.
 
Back
Top Bottom