GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Sijui kwani sikutaka Kulifuatilia tena hilo.Alirudiana naye baada ya Victor Kamerhe kufungwa? [emoji848]
Kwa kweli nadhani Amida humuathiri sana Mpiana, nadhani ndio sababu humfanya 'apotee' sana kimuziki. Jamaa anampenda sana yule mwanamke.Sijui kwani sikutaka Kulifuatilia tena hilo.
Uko sahihi tena kwa 100% Mkuu na Heko.Suzuki hakua Rapper lakini mkuu.
Mpaka Wadau tunahisi Kamroga Jamaa.Kwa kweli nadhani Amida humuathiri sana Mpiana, nadhani ndio sababu humfanya 'apotee' sana kimuziki. Jamaa anampenda sana yule mwanamke.
Popote pale ulipo Mkuu Salute tu Kwako.Nimependa sana madoido yaliyomo kwenye hii Nyuzi. Kwa kweli wewe ni Mnazi wa BCBG.
Mimi ni Mwanaukoo wa Wenge Musica BCBG 4*4 Tout Terrain— Vijana Watanashati wenye mitindo ya kijanja waliokuwa wakipiga kazi nyakati na hali zote, kama Gari yenye uwezo wa kuvuta tairi zote, 4*4. Ndio band ya kwanza kuihusudu Kongo. Hivyo familia zote zilizozaliwa kutokea kwenye familia hiyo ya WMBCBG4*4TT mimi ni shabiki. Wenge El Paris yake Marie Paul, Wenger Ponderation ya Blaise Bula, WMMM ya Werason, Wenge Tonya Tonya ya Dominguez, Le Maquis de Maison Mere yao kina Ferre, Mulopwe na Bill Clinton na hata sasa Les Marquis International ya Ferre. Wanawenge wote wanachokitu cha kipekee ambacho huwezi kipata QLI au kwa Wazekwa, ule u-BCBG. Swagga kwenye style zao za kughani, rumba, mavazi na mavazi. u-BCBG ni alama kwenye muziki wa Kongo.
Mimi sio mshabiki wa Mpiana. Lakini Toka 1990 hadi leo hakuna mwanamuziki mwenye sauti tamu kama Mpiana. Kwanza ni sauti isiyo na mpayuko-imepoa, pia ni ya asili—sio artificial kama ya Koffi. Hii ndio hufanya popote Mpiana anapotia Verse, hufanya verse yake iwe bora zaidi. Kwenye No Comment Shengen huwa nasikiliza na kuirudia verse yake hata mara kumi.
Pili kwenye Show, hakuna mwanamuziki anayemfikia Mpiana. Show zake zina ubora sana kwa maana ya unadhifu wa wachezaji, mpangilio wa safu, na nidhamu ya wanamuziki wake—So much professional, uchaguzi na mtiririko bora wa nyimbo kwenye Show. Nilipata ona video moja, Alain Makaba anasema mwenye maana halisi ya 'Vijana watanashati' ni Mpiana. Hii unaweza liona hata kwenye Matamasha yake. Top notch concerts.
Hizi ndio nyimbo bora kabisa kwangu za Mpiana;
Rhumba;
48 hours gecoco.
Jeannette.
Feux De Amor.
Education; Hii education nilimkubali sana jamaa, kwa sababu ya Topic aliyoigusia humu—Malezi ya watoto. Ametoa somo kubwa sana ya namna gani tunapaswa walea watoto wetu na maisha yetu wazazi yanavyoweza athiri makuzi ya watoto kiafya na kinidhamu.
Sebene;
Titanic—bado hii ndio Sebene bora zaidi kutoka kwa Mpiana.
T.H (Touj Humble—Daima Mnyenyekevu); Kama kawaida Tutu Kaludji kaua.
Nyimbo isiyonichosha ya Wenge BCBG ni Masuwa.
Impressive. Asante sana Mkuu! Umenikumbusha mambo mengi sana ya muziki wa Kongo na nyakati za kimaisha.Uko sahihi tena kwa 100% Mkuu na Heko.
Hii ni Historia ya Marapa ( Atalaku ) wa Congo DR...
Kihistoria Mwanzilishi Mkuu wa Kurapu ( Atalaku ) katika Nyimbo huko Congo DR ni Hayati Kabasele Yampanya ( Pepe Kalle )
Mbunifu Mkuu wa Kurapu ( Atalaku ) katika Nyimbo huko Congo DR ni Djuna Mombafu ( Bileku Mpasi ) Kijana aliyelelewa vyema kabisa na Hayati Pepe Kalle.
Aliyenogesha Kurapu ( Atalaku ) huko Congo DR ni Yombo Lumbu ( Tutu Calugi ) na huyu ndiyo Mlezi wa Rapa Kipenzi changu Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ) na pia ndiyo Mwalimu wa Marapa ( Atalakus ) wengi wa Congo DR kwa miaka 15 iliyopita.
Marapa ( Atalakus ) wa Bendi ya Wenge BCBG ya sasa yake JB Mpiana na ile ya Jumla iliyokuwa Wenge Musica BCBG 4 X 4 ( Les Anges Adourables ) walikuwa ( ni hawa Wafuatao.... )
1. Roberto Wunda Enkokota
2. Tutu Calugi ( Yombo Lumbu )
3. Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE )
4. Noah Mukendi ( Kilimanjaro )
5. Faustine Nzinga Yankobo ( CELLULAIRE )
6. Pajo
7. Bin Laden
8. Fusee Degairel
Marapa ( Atalakus ) bora wa Kiujumla kwa Congo DR ( japo wapo Wengi tu ) mpaka ile Congo ya Brazaville ni hawa Wafuatao....
1. Mukeba Kalondji ( Bill Clinton )
2. Rwinga Keps ( Brigade Sabatier )
3. Eyale Kalondji ( KEROZENE )
4. Mozami Muviu ( CELEO )
5. Rwa Davide
6. Mazikou Ghislain ( Kila Mbongo )
7. Arafat Wanya
8. Gesac
9. Kirikou
10. Zaparo Degere
Albam bora ya Papa Mopao Boss ya Mboka Koffi Ollomide inaitwa Magie, humo alirap mtu wa kuitwa FIFINA, unawezaje kumuacha katika orodha ya marapa bora kuwahi kutokea zaire?Uko sahihi tena kwa 100% Mkuu na Heko.
Hii ni Historia ya Marapa ( Atalaku ) wa Congo DR...
Kihistoria Mwanzilishi Mkuu wa Kurapu ( Atalaku ) katika Nyimbo huko Congo DR ni Hayati Kabasele Yampanya ( Pepe Kalle )
Mbunifu Mkuu wa Kurapu ( Atalaku ) katika Nyimbo huko Congo DR ni Djuna Mombafu ( Bileku Mpasi ) Kijana aliyelelewa vyema kabisa na Hayati Pepe Kalle.
Aliyenogesha Kurapu ( Atalaku ) huko Congo DR ni Yombo Lumbu ( Tutu Calugi ) na huyu ndiyo Mlezi wa Rapa Kipenzi changu Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ) na pia ndiyo Mwalimu wa Marapa ( Atalakus ) wengi wa Congo DR kwa miaka 15 iliyopita.
Marapa ( Atalakus ) wa Bendi ya Wenge BCBG ya sasa yake JB Mpiana na ile ya Jumla iliyokuwa Wenge Musica BCBG 4 X 4 ( Les Anges Adourables ) walikuwa ( ni hawa Wafuatao.... )
1. Roberto Wunda Enkokota
2. Tutu Calugi ( Yombo Lumbu )
3. Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE )
4. Noah Mukendi ( Kilimanjaro )
5. Faustine Nzinga Yankobo ( CELLULAIRE )
6. Pajo
7. Bin Laden
8. Fusee Degairel
Marapa ( Atalakus ) bora wa Kiujumla kwa Congo DR ( japo wapo Wengi tu ) mpaka ile Congo ya Brazaville ni hawa Wafuatao....
1. Mukeba Kalondji ( Bill Clinton )
2. Rwinga Keps ( Brigade Sabatier )
3. Eyale Kalondji ( KEROZENE )
4. Mozami Muviu ( CELEO )
5. Rwa Davide
6. Mazikou Ghislain ( Kila Mbongo )
7. Arafat Wanya
8. Gesac
9. Kirikou
10. Zaparo Degere
Japo kuna kina Suzuki 4×4, Bill clinton n.k Huyo Roberto Ekokota sijui kama kuna rapa yeyote anagusa hapo
Rapa aliye Tishio kwa sasa ni GENTAMYCINE ( Pitshou Lisimo ) wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana japo hata akina Bill Clinton ( Mukeba Kalondji ) pamoja na Gesac aliyekuwa akirapu kwa Felix Wazekwa kabla hajahamia kwa Koffi Olomide na Bendi yake ya Quarter Latin ambapo alifanya Kazi kubwa katika Album ya Monde Arabe hasa ule Wimbo mtamu wa Respect.
Roga Roga Mwenyewe ambaye Jina lake halisi ni Ibambi Ikombi ameanza kujifunza Kupiga Gitaa la Solo wakati Burkinafaso Mbokaliya akiwa 'on Fire' na huyu ni Mwalimu wake katika Fani.
Roga Roga unaweza Kumshindanisha tu Wapiga Gitaa la Solo kama akina Flam Kapaya wa Wenge Maison Mere ya Werrason, Ramazani Fulutuni wa Quarter Latin yake Koffi Olomide, Pitchou Concorde wa Bendi ya Felix Wazekwa na Schevchenko Patou wa Bendi yake JB Mpiana ya Wenge BCBG.
Watu sahihi tu wa Kuwafananisha au Kuwashindanisha na Burkinafaso Mbokaliya katika Upigaji mahiri wa Gitaa la Solo ni Diblo Dibala, Dally Kimoko, Beniko, Cain Madoka, Alain Makaba, Mitre Ficarre Mwamba, Dilu Dilumona na Nene Tchacou.
Hakuna Mtu aitwae FIFINA aliyekuwa akirapu ( akighani ) katika huo Wimbo wa Maggie bali aliyeimbwa hapo ni Tajiri ( Pedeshee ) Mmoja aitwae JEANPPY PIPINA ambaye hata JB Mpiana nae hupenda sana Kumuimba katika Nyimbo zake.Albam bora ya Papa Mopao Boss ya Mboka Koffi Ollomide inaitwa Magie, humo alirap mtu wa kuitwa FIFINA, unawezaje kumuacha katika orodha ya marapa bora kuwahi kutokea zaire?
Rekebisha hapo katika Jina la Ali Mponda na weka Jina sahihi la Ally Mbonda Mkuu.Katika vitu niliumia kuhusiana na muziki ni kuvunjika kwa Wenge BCBG. kuna mashine kali kama Likala Moto Suprise Kapangala Wille mutu. Na ili ya kwanza kabla ya kutoa Pentagon kuna wanaume walifanya kazi Allain Makaba, Didier Masela kuna akina Ali Mponda huyu nasikia ni kichaa alikuwa anapiga konga. Noel Ngaima Makanda na sauti yake ya NINGA.
Nadhani kuna mahala nimemtaja katika 'List' ya Marapa bora kwa Congo DR na Congo Brazaville japo sikumuelezea Kiundani.Mkuu unamfahama "Zaparo Deguire" wa Extra musica nouvelle horizon?? Hebu jaribu kuweka sikio lako kwa huyu mwamba
Kuna mahala umekosea kidogo Mkuu kwani Lokassa ya Mbongo kwa Congo DR nzima ndiyo anasifika kuwa ni Baba wa Gitaa la Kati la Rythm na huyo Ngouma Lokito anasifika kuwa Baba wa Gitaa la Kibabe la Bass na wote hawa Kamwe hawajawahi Kupiga Gitaa Kinara la Solo ila kwa hao wengine uko sahihi 100% ni Mahiri wa Solo Guitar na alichowashindia Diblo Dibala ni kimoja tu kuwa Yeye anapiga Gitaa la Nyuzi 32 huku wengine wote wakiishia tu Gitaa la Nyuzi 24 tu.Hii listi ilipitishwa na magwiji wa mziki hapo DRC na Brazaville, ingawaje huyo namba 7 sio mkongo
1.Diblo Dibala
2.Dally Kimoko
3.Lokassa Ya Mbongo
4.Kimbangu Solo
5.Ngouma Lokito
6.Nene Tchakou
7.Phellipe Ferreira "Saladin"
8.Alain Makaba
9.Roga Roga
10.Sonor Digital
Kora Awards zilianza mwaka gani? Na unajuwa mfumo wanaotumia kuwapata washiriki?View attachment 2047072
With Due Respect to "WENGE MUSICA et al" ila hii bendi ya EXTRA MUSICA ndo bendi bora kutokea huo ukanda wa KONGO, na hii ilijidhiirisha kwa kuwa ni Bendi Pekee na Moja tu iliyochukua Tuzo za "KORA AWARDS"
Kwa msio jua "KORA AWARDS" ilikua ni kama ilibyo BET au GRAMMY ya Africa.