Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hata Bozi Boziana nadhani ametumia Nick name huyo.Kiutani alikuwa akiitwa Le Grand Pretre.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Bozi Boziana nadhani ametumia Nick name huyo.Kiutani alikuwa akiitwa Le Grand Pretre.
Mkuu nilijua shabiki wa kuugua kwa wenge BCBG nipo peke yangu, kala eboing na hi ho ha pale waliuwa!Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi?
1. Champion Kapangala ( Sebene )
2. Omba ( Rhumba )
3. Wallah Danico ( Sebene )
4. Sans te Toucher ( Rhumba )
Kama una 'updates' zozote za kuihusu Bendi hii yetu pendwa ya Wenge BCBG yake JB Mpiana tafadhali karibu utupatie kwani hii Bendi ambayo Mbinguni kwa Mungu Baba inapendwa na imebarikiwa kabisa.
Wenge BCBG ni Mashine ya Muziki hasa!
Tupo mkuu G!Nimefurahi mno Mkuu kujua kuwa nawe ni mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana. Nataka niwajue na JF Members wengine waipendao hii Bendi kama Sisi.
Monsieur De CongolaiseTheodor Ngiama Obiang
Adolph Muteba Chilamwina
Jose Kongolo
Hamed Bakayoko
Pedeshee Dariol Mulongo
Adam Bombole
Fabrice Wasepe
Patricke Bolonya
Mohamed Munuo
JB Mpiana hatokuja kufanya tena show kama hii
Nimeona jina lako nkakumbuka ngoma ya ninaHakuna vibao vinavyonikosha vya hawa mabwana kama Feux de I’amour na Masuwa vyote wameimba na Papa Wemba….
Nikiwa nimekaa kiti kirefu nashusha bia nikikumbuka harakati za miaka ya tisini hakika nimezeeka sasa…
Hakuna Bendi iitwayo Wenge Msison mere kama 'ulivyojitutumua' Kuandika bali kuna Bendi iitwayo Wenge Maison Mere ( MM ) yake Ngiama Makanda Werrason Noel ikimaanisha Wenge Nyumba ya Mama na Wenge Bon Chic Bon Genre ( BCBG ) yake Jean Bedele Tshituka Mpiana ikimaanisha Wenge Wazuri na Watanashati.Wenge Msison mere
Tafadhali msinitafute Ubaya katika huu Uzi wangu na bahati nzuri unajieleza vizuri tu kuwa ni wa Kuihusu Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana hivyo kama nanyi mna Mapenzi na Wanamuziki wa Bendi zingine na Nyimbo zao anzisheni 'threads' zao ila sitaki mtumie huu Uzi wangu GENTAMYCINE kama Lifti yenu ya kusema Mahaba na hao mnaowapenda.Nipo home namsikiliza Madilu System, Ya Jean napenda ku_replay sana hii ngoma
Sorry mkuu,nilikuwa naonesha heshima heshima kwa nyimbo za wenzetu.Tafadhali msinitafute Ubaya katika huu Uzi wangu na bahati nzuri unajieleza vizuri tu kuwa ni wa Kuihusu Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana hivyo kama nanyi mna Mapenzi na Wanamuziki wa Bendi zingine na Nyimbo zao anzisheni 'threads' zao ila sitaki mtumie huu Uzi wangu GENTAMYCINE kama Lifti yenu ya kusema Mahaba na hao mnaowapenda.
Mtanikwaza sasa hivi na niwajibu hovyo.
And I have much respects to WENGE BCBG (JB MPIANA)Sorry mkuu,nilikuwa naonesha heshima heshima kwa nyimbo za wenzetu.
Umeshindwa kuanzisha Uzi wao Maalum hadi uje uwasifie na uwaonyeshe hiyo Heshima katika huu Uzi wangu Maalum wa kuihusu Bendi yangu pendwa na Tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana?Sorry mkuu,nilikuwa naonesha heshima heshima kwa nyimbo za wenzetu.
Hapa sawa na tuko pamoja tena mno tu.And I have much respects to WENGE BCBG (JB MPIANA)
walishoot ulayaBCBG for life, taja nyimbo zote lakini Kama hakuna Kalayi Boeing hiyo siyo Wenge ni Mawenge.