Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

Kuna nyimbo inaitwa
1,Ave Maria
2,kaskin
3Danico
4,wallah danico
5promess bouboule
6,Recto verso ni moto [emoji91]
 
Nimo umo, siku hizi ni Heritier Wata anapiga zote za Wenge back up kisasa.
Jibe anachoosha sana, waimbaji walewale style kucheza ileile.
Afadhali Werrason.
 
Nimo umo, siku hizi ni Heritier Wata anapiga zote za Wenge back up kisasa.
Jibe anachoosha sana, waimbaji walewale style kucheza ileile.
Afadhali Werrason.
Uelewa wako wa Miziki ya Congo DR ni mdogo mno hivyo usinichoshe katika Kukuelimisha Mpuuzi Mmoja kama Wewe usemaye JB Mpiana si lolote na afadhali ya Werrason.
 
Uelewa wako wa Miziki ya Congo DR ni mdogo mno hivyo usinichoshe katika Kukuelimisha Mpuuzi Mmoja kama Wewe usemaye JB Mpiana si lolote na afadhali ya Werrason.
We kenge matusi ya nini we kimba kabisa.
Huo mziiki mi naskiliza toka enzi za Franko na Tabuley utaniambia nini.
Ongea na wajingawajinga **** mmako msenge mkimbizi wewe mi hunisimulii chochote we wakuja tu.
Hata huyo Jibe hujawai kumuona we farasi.
Wenzio tushakaa sana viti vya mbele Paris huko.
 
Kwa jinsi ulivyoandika tu hapa pasi na Shaka yoyote ile umeshaonyesha kuwa Wewe siyo tu Mpumbavu na Mwendawazimu ila Maisha yamekupiga, Umasikini umekutawala halafu Mambo yako hayaendi na ulichobakiza sasa ni kuanza Kushinda pale Kwa Macheni Magomeni Mapipa ukisukuma Ukuta na ukikagua Mafuta laini ya Mgando huku Mwili wako ukichezacheza tu Wote.
 
Ignore list.
We kimba tu kafie mbele msengerema wewe hata muziki hujui.nishakwambia ongea na wajingawajinga u ku ma wako sio mimi.
Usikute mi baba yako pumbavu.
 
Hakuna vibao vinavyonikosha vya hawa mabwana kama Feux de I’amour na Masuwa vyote wameimba na Papa Wemba….

Nikiwa nimekaa kiti kirefu nashusha bia nikikumbuka harakati za miaka ya tisini hakika nimezeeka sasa…
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38]
 
Ignore list.
We kimba tu kafie mbele msengerema wewe hata muziki hujui.nishakwambia ongea na wajingawajinga u ku ma wako sio mimi.
Usikute mi baba yako pumbavu.
Naona unazidi tu Kutuonyesha Upumbavu na Uwendawazimu wako hapa Jamvini JamiiForums hivyo bila shaka utapata Msaada wa haraka wa Madaktari wa Ugonjwa wa Akili ulionao na ambao ndiyo unakusumbua ili upone haraka.
 
Kuwa na akili matakroo wewe
 
Feux d l’amour ni moto wa kuotea mbali.
Cavalier Solitaire lile sebene pale mwisho sio mchezo.
 
Unamurate vipi Werrason ndugu?
Kibao kimoja sijui inaitwaje ila Sebene matata sana
 
Mpaka leo bado sijaona Wimbo wa Kuupiku uitwao Kine Bouger ( yaani Kinshasa inatingishika ) ambapo Mghani au Rapa ( Atalaku ) Mwandamizi aitwae Roberto Wunda Enkokota aliutendea vyema kabla ya kumuachia Jukumu la 'Kurapu' Mwalimu Tutu Calugi na Yeye ( Roberto ) kwenda Ufaransa kutibiwa Koo lake ambalo ndiyo lilizima kabisa Safari yake ya kuwa Rapa ( Atalaku ) wa Wenge BCBG yetu hii Mkuu.
Napenda sana energy ya Ekokota akiwa ana rapu mfano kin e bouge, cest trop tard Djenga pia style ya Caludgi nzuri sana iko soft mfano kwenye Titanic 🙌🏿🙌🏿
 
Haya mliokuwa mnataka kumjua Alain Makaba alivyo balaa kwa Kupiga Solo Gitaa pamoja na Burkinafaso Mbokaliya hebu usikilizeni huu Wimbo wa No Comment Shengen kwa Makaba alipiga Solo namba Moja na Mbokaliya alipiga Solo namba Mbili.
Kuna nyimbo inaitwa sebene ya marehemu Dindo Yogo solo limepigwa na watu wawili; sehemu ya kwanza Caen Madoka ya pili; Alain Makaba... hiyo sehemu ya Makaba ni 🔥🔥🙌🏿🙌🏿. Rapa “atalaku” aliyeimba nyimbo yote ni Nono Monzuluku 🔥
 
Uko sahihi tena kwa 100% Mkuu na Heko.

Hii ni Historia ya Marapa ( Atalaku ) wa Congo DR...

Kihistoria Mwanzilishi Mkuu wa Kurapu ( Atalaku ) katika Nyimbo huko Congo DR ni Hayati Kabasele Yampanya ( Pepe Kalle )

Mbunifu Mkuu wa Kurapu ( Atalaku ) katika Nyimbo huko Congo DR ni Djuna Mombafu ( Bileku Mpasi ) Kijana aliyelelewa vyema kabisa na Hayati Pepe Kalle.

Aliyenogesha Kurapu ( Atalaku ) huko Congo DR ni Yombo Lumbu ( Tutu Calugi ) na huyu ndiyo Mlezi wa Rapa Kipenzi changu Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ) na pia ndiyo Mwalimu wa Marapa ( Atalakus ) wengi wa Congo DR kwa miaka 15 iliyopita.

Marapa ( Atalakus ) wa Bendi ya Wenge BCBG ya sasa yake JB Mpiana na ile ya Jumla iliyokuwa Wenge Musica BCBG 4 X 4 ( Les Anges Adourables ) walikuwa ( ni hawa Wafuatao.... )

1. Roberto Wunda Enkokota
2. Tutu Calugi ( Yombo Lumbu )
3. Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE )
4. Noah Mukendi ( Kilimanjaro )
5. Faustine Nzinga Yankobo ( CELLULAIRE )
6. Pajo
7. Bin Laden
8. Fusee Degairel

Marapa ( Atalakus ) bora wa Kiujumla kwa Congo DR ( japo wapo Wengi tu ) mpaka ile Congo ya Brazaville ni hawa Wafuatao....

1. Mukeba Kalondji ( Bill Clinton )
2. Rwinga Keps ( Brigade Sabatier )
3. Eyale Kalondji ( KEROZENE )
4. Mozami Muviu ( CELEO )
5. Rwa Davide
6. Mazikou Ghislain ( Kila Mbongo )
7. Arafat Wanya
8. Gesac
9. Kirikou
10. Zaparo Degere
11. Parabolique
12. Mboshi Bola
13. Theo Mbala
Kwenye class ya kwanza wa atalakus pia nawaongeza Nono Monzuluku na Doudou Adoula hawa wote walipita Zaiko Langa Langa.
 
Back
Top Bottom