Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Dealer wa sony wa pale twiga house mtaa wa samora alikua na vitu vya maana,ila last time nilipopita nilikuta duka limechoka mbaya,sijui walipatwa na nini!Hawa jamaa ni noma sana kwwnye masuala ya sound systems. Na ndiyo maana huwezi kuta maduka mengi sana stock viyu vyao maana ni expensive kweli.
Hahah
Vibaya hivyo rafiki angu
Sio kweliila sio wewe tu, wanawake wote mkiona nyumba ya baharia imependeza huwa mnamkubali [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna spika ndefu zile za Sony SS-F6000P, four way floor standing speakers, ukifunga mbili hizo, halafu na zile ndogo za bookshelf SS-B3000 (au hata SB-1000) mbili, halafu ukafunga na 5.1 channel audio system yenye watts za heshima na bluray, FM, bluetooth na audio jack, kwa muziki wa nyumbani tu utatesa.Mkuu mimi nadhani tafuta music system nzuri ya Sony. Hawa jamaa ktk music wa namna hii ni wazuri na inadumu. Ila tafuta hata ya laki 8-9
Kwa Sony hiyo music system ni uhakika. Ila kama wataka mziki hata wa Party hapo nunua fidek mayai moja ile ya doubke, kisha na powered mixer, hapo na mic za UHF utapata.
Mziki wa fidek ni hatari, au nunua zile single mbili, moja weka upande huu na nyingine upande huu, hapo majirani lazima wakutafute wajue mziki unaotumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww mwenyewe wafanya hii kazi??
LG haina powerfull bass, kama kwako sio mpenzi wa mziki mzito chukua LG. Ila kama unapendelea mdundo mkali basi Sony all the way.Boss kipi ni kiko vizuri hapa kati ya hizi
DAV-DZ650 SONY hii ni 1000w kwa 600k
Au
LG LHD655BT hii ni 1000W kwa 500k
Au unaweza nishauri pia.
Mkuu naitamani sana hio Muteki man, natamani nisikie sound lake live.🤣🤣🤣
Hili duka likwapi mkuuBoss kipi ni kiko vizuri hapa kati ya hizi
DAV-DZ650 SONY hii ni 1000w kwa 600k
Au
LG LHD655BT hii ni 1000W kwa 500k
Au unaweza nishauri pia.
Hahahah hilo dude la Ndoki sasa 🤣🤣🤣💥💥💥💥💥💥Hahahaha gusa na
[emoji117]koffi olomide - Aspirine
[emoji117] Fally Ipupa - Ndoki
ugundue mende aliyejificha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikaomba picha maana sidhani kama mtu anaenunua mziki wa nyumbani anaweza weka maspika kama ya kanisani ukubwa wa fridge sebuleni. 🤣🤣🤣Huyu sijamuelewa kwani hao fidek si wanatengeneza miziki ya club, bar ets. Wana miziki ya ndani kweli?
Mi nilichukulia Amazing Lifestyle duka flani liko Sinza.
Model gani mkuu, hebu nchapie Model niidekereeExtrovert Lg naona now ana full soround Av receiver kuna 5.2(2floorstanding, 1center, soroun 2 na sub 2) kwa macho nimeona ni vinu si mchezo, najaribu kuappload picha inazingua.
Labda walio/wanaozitumia waje watupe uzoefu.
Unaweza kucheck brand kama za sony, lg na sanyo kwa 1000watts, ziko poa na zinakohoa sio mchezoNimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa
Naombeni mawazo yenu tafadhali ikiwezekana na location..
Mi nilichukulia Amazing Lifestyle duka flani liko Sinza.
Hiyo ni ARX-8500Model gani mkuu, hebu nchapie Model niidekeree
Hii kitu Nyoko, naijua hii mashine... Kuna jamaa mmoja alikuwa rafiki wa shemeji yangu. Aliitungua Mlimani City, enzi Prison Break iko kwa Hit!Panasonic Hiyo.
Inaenda mwaka wa 13 nw tangu nautumia kuanzia 2007. Unanisumbua kidogo kwenye njia ya 1:5 nabaki kutumia 2 way channel. Na Nimepoteza Remote na Front Speaker Moja ila bado nawapa shida wenzangu nikiwasha wanaleta flash zao dj nakua mimi.
Kama kuna Mafundi watundu wa haya madude nisaidieni., maana hapa natwanga home party zote hata hivi ilivyo, kwa wanaojua sound wataelewa namaanisha nini juu ya huyu mnyama, kama atapatikana wakubadilishana nae atangaze dau atanipa system gani, nipo Dar.
Description:
Panasonic SA-HT928 5 Disc DVD/CD Changer
FM/AM Tuner
Component/SVideo Output
**REMOTE CONTROL EXCLUDED**
**TIDAK TERMASUK REMOTE CONTROL**
SB-WA928 Subwoofer
Type: 20 cm Cone type
Impedance: 4 ohm
Frequency Range: 34 Hz–220 Hz (j16 dB)
2 * SB-PF921 Front Speakers
Type: 2 way, 3 speaker system (Bass reflex)
Impedance: 6 ohms
Frequency Range: 92 Hz–50 kHz (j16 dB)
SB-PC920 Center Speaker
Type: 2 way, 3 speaker system (Bass reflex)
Impedance: 4 ohms
Frequency Range: 110 Hz–50 kHz (j16 dB)
- Still in good condition
- Self pick up
For more enquiries, whatsapp /Wechat or sms to me:-
JC - 011-56755337View attachment 1395316
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu Nyoko, naijua hii mashine... Kuna jamaa mmoja alikuwa rafiki wa shemeji yangu. Aliitungua Mlimani City, enzi Prison Break iko kwa Hit!
Siku moja tukamuibukia tukawa tunacheki movie ya Notorious BIG ile kama documentary. Aisee zile sound track mara "Hypnotize" , "Juicy", "Big Poppa" that feeling siwezi elezea ukizingatia ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana na system inagonga namna ile, excitement level haielezeki. Thats when i started falling in love na hometheatre systems. Pale ndio nilitambua uongozi wa HT!
Mkuu tupe detail vzr kwa ss ambao hatujui kitu kweny music system kwamba kam unatak mzik mzur labda tafta hik then kile ukiunganisha unapat kitu kizur.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malaysia copy za mwanzo, mfano hizi za Blu-Ray unaweza bahatisha ya Malaysia ila zikiisha wanafata China na Uarabuni zinakuwa Made in China.