Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,418
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi bei babaa.Ila nimegundua kuna kizazi kimepita hapa kati ya miaka ya 2000-2019,wengi hawajui sound quality zenya akili,mimi nawaunga mkono Sony wana mashine nzuri sana,ila nafagilia sana mziki wa Bose,ingawa huku kwetu ni chache sana,kwanza quality ya mziki unaotoka ni wa hali ya juu sana,umechujwa na ukachujika,Bass quality yao imesimama sana,sio sawa na mispika ya sikuhizi kariakoo,spika kubwa linadunda kama ndoo...
Sent using Jamii Forums mobile app
spika kama ndoo tenaIla nimegundua kuna kizazi kimepita hapa kati ya miaka ya 2000-2019,wengi hawajui sound quality zenya akili,mimi nawaunga mkono Sony wana mashine nzuri sana,ila nafagilia sana mziki wa Bose,ingawa huku kwetu ni chache sana,kwanza quality ya mziki unaotoka ni wa hali ya juu sana,umechujwa na ukachujika,Bass quality yao imesimama sana,sio sawa na mispika ya sikuhizi kariakoo,spika kubwa linadunda kama ndoo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nimegundua kuna kizazi kimepita hapa kati ya miaka ya 2000-2019,wengi hawajui sound quality zenya akili,mimi nawaunga mkono Sony wana mashine nzuri sana,ila nafagilia sana mziki wa Bose,ingawa huku kwetu ni chache sana,kwanza quality ya mziki unaotoka ni wa hali ya juu sana,umechujwa na ukachujika,Bass quality yao imesimama sana,sio sawa na mispika ya sikuhizi kariakoo,spika kubwa linadunda kama ndoo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Polk, Pioneer, Elac, KEF, Klipsch, svsound & Arendal 1723...ni ghali kidogo ila unaweza kuujenga mziki wako tararibu...ukifikisha speaker 2 na subwofer moja tu...hizo LG or Sony weka hata mia ila sound quality itabaki km mbingu na ardhi...take ur time kufanya research amazon & ebay...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimecheki bei zimechanganya balaa.nilikuwa nacheki AV receiver ya Onkyo TXNR696.Bei dola 600.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu maelezo yako kwenye DAV dz650 lakini nimekutana na changamoto mbiliMkuu kwenye Presets za EQ weka "Multi" hii itaongeza clarity ya speaker na zote zitaongea.
Ukitaka enhanced bass weka "Standard"
Kwenye Presets za Sorround weka "Bongo" this is the best preset so far. Ina blend vizuri na Presets zote za Sorround.
Kisha ingia kwenye System setup specifically kwenye speaker setup.
Pandisha dB count toka 0 mpaka +6dB kwa kila speaker za front, rear, centre na Subwoofer. Utapata sound bora zaidi. Kwa wale wanaosema System haina sauti ya kutosha hapa ndipo mtego ulipo.
Unaweza pia kuset distance ya speaker toka zilipo mpaka kwenye makochi unapokaa ili ziweze ku calibrate sauti kulingana na umbali wa sikio lako.
Ukimaliza hayo njoo unishukuru.
2. Nikienda kwenye EQ present zilizopo ni Auto, Movie, Music, TV na GameMkuu kwenye Presets za EQ weka "Multi" hii itaongeza clarity ya speaker na zote zitaongea.
Ukitaka enhanced bass weka "Standard"
Kwenye Presets za Sorround weka "Bongo" this is the best preset so far. Ina blend vizuri na Presets zote za Sorround.
Kisha ingia kwenye System setup specifically kwenye speaker setup.
Pandisha dB count toka 0 mpaka +6dB kwa kila speaker za front, rear, centre na Subwoofer. Utapata sound bora zaidi. Kwa wale wanaosema System haina sauti ya kutosha hapa ndipo mtego ulipo.
Unaweza pia kuset distance ya speaker toka zilipo mpaka kwenye makochi unapokaa ili ziweze ku calibrate sauti kulingana na umbali wa sikio lako.
Ukimaliza hayo njoo unishukuru.
TZ140 kumbe ndiyp watt 300 dah nilikuwa nazifananisha hizi vitu viwli.Perfomance iko sawa maana zote ni watts 1000 on same machine. Tofauti ni umbile la midrange speakers.
Za DZ350 ni fupi zote ila za DZ650 mbili ni ndefu ndio kinatofautisha bei.
Mkuu hio AV System yako ni toleo la kwanza. Ukiangalia nyuma ya deki utakuta imeandikwa Made in Malaysia ambazo hizo ndio ziliuzwa worldwide.2. Nikienda kwenye EQ present zilizopo ni Auto, Movie, Music, TV na Game
Na kwenye surround present zilizo ni Doldy Pl, 2 CH ST, Standard na Multi
Hiyo "Bongo" unayosemea sijaiona kabisa Mkuu
View attachment 1402622
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio jau mkuu watts 300 itakuwa haina boom ya kutosha. Nilishakuwaga na Samsung na LG watts 300 ilikuwa ni ushuzi wa dengu. They suck as https://jamii.app/JFUserGuide yani kisabufa cha sea piano cha 110,000 cha watts 60 kina mdundo kuliko HT ya watts 300!TZ140 kumbe ndiyp watt 300 dah nilikuwa nazifananisha hizi vitu viwli.
Pandisha hizo ambazo zinaenda mpaka +6db it will add up something hasa kwenye bass na sorround impact utaifeel kinoma.Nimejaribu maelezo yako kwenye DAV dz650 lakini nimekutana na changamoto mbili
1. Kwenye kuadjust sound, speaker za Mbele Right na Left inawezekana tu kuadjust kati ya -6.0 dB hadi 0.0 dB. Hata manual yake inaonyesha hivyo (angalia picha)
Je kuna uwezekano wa kuiforce? View attachment 1402619
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaeza nipa picha ya subwoofer speaker yako pia. Bila shaka itakuwa na speaker yenye kitovu na sio flat. Ila hizi 2nd generation za African Market zina flat surfaced speaker.2. Nikienda kwenye EQ present zilizopo ni Auto, Movie, Music, TV na Game
Na kwenye surround present zilizo ni Doldy Pl, 2 CH ST, Standard na Multi
Hiyo "Bongo" unayosemea sijaiona kabisa Mkuu
View attachment 1402622
Sent using Jamii Forums mobile app
AV receiver kali in the Market ni Marantz na Denon...kwakuanzia unaweza anza na 5.2 channel AV receiver, check ebay Denon AVR-S540BT...$200,u can upgrade in future to 7.2 or 11.2 for Dolby Atmos...speaker anza na Pioneer SP-BS22A bookshelf speaker or SP-FS52 Floor standing speaker(Cheap compare na brand nyingine)...next yr nununua Subwofer, SVS PB-1000....kifupi anza taratibu usiwe na haraka ila by the time unafikisha 5.2 kila mtu atataka umuuzie mziki wako sema tu mtashindwana bei..
Sent using Jamii Forums mobile app