Imagine having a sound ambayo unaeza i modify muda wowote unaeza itune utakavyo...
Kitu sipend kwenye mziki ulio complete ni kwamba kuna baadh ya vitu huezi fanya afu kumfanya mtu aridhike ni ngumu sana ...kama kwenye market naona some hi-fi zenye bufa ake system ya watts 750 LG naona ka spika za saut zina watts za kutosha but wamekubana kwenye bass kuwa na spika midrange inch 6.5 afu bass inch saba saba hata watts hasijatofautiana sana
Ila huu upande mwngine kuna mambo unaeza fanya eg kuamua kila spika icheze frequency zipi yan i base pale ..mfano hizi sub zetu za kichina unakuta au nyingi mpaka theatre kale ka sub unakuta kana system kanacheza as low as 40hz or 20hz to 250hz where milio yote mizito inasikika pale na tunajua gitaa pia linaeza piga as low as 50hz means milio pia ya gitaa itasikika kwenye spika la bass manake kuna mingurumo ya kila saa isio na tija kwenye spika la bass....milio ya gitaa haisaund vizuri sana
Ila huku pengine naeza set sub icheze dundo zito tu eg 20hz to 50hz tu where above hapo zitasikika kwenye spika za midrange ambazo zitabeba saut nene nene eg milio ya gitaa ngoma ambazo si nzito za kawaida
Ukiset hivo ukasikiliza nyimbo ya malaika band Ile umeondokaa huku nyuma hali yangu sio shwari uliniahd hatochel3wa atarudi [emoji16] nimesahau jina lake ..ila ile nyimbo jinsi ilivopigwa na kila kitu ukisikiliza kwenye mziki wa kawaida sub litakuwa linanguruma kila saa ila kwa setting hiyo unaeza kaa sekunde 50 sub imenyamaza unaeza jua waya umekatika kumbe muda huo zinapokezana midrange na full range speakers kutoa sauti za hiyo nyimbo ila inafika a point where mid haitoweza play frequency ndogo vile basi ndo hapo sub kubwa la nch 12 peak ya 1400w or 2000w linapokea linanguruma kama simba deep bass had unaisikia kwenye mishipa ya fahamu daaa asiwaambie mtu
Setting kama hiyo hakuna nyimbo utaichukia kila ukitaka futa afu usikilize hapo unaona aaa hapana acha iwepo....
Faida ingne unaeza nunua chombo kimoja kimoja pia unaeza fanya upgrade kirahisi sana leo unaeza kuja kwangu ukakuta nina nina mziki wa watts 800 kesho ukaja ukakuta nimeongeza sub moja na full range mbil tayar system imeongezeka...
Mfano complete system ya mutek iwe milion mfano huwez nunua labda spika mbil za saut na bass moja afu vingne siku ingne NO lazima ununue yote
Kingne ni kwamba kila kampuni iko fresh kwenye upande flan mfano me napenda sony component spika najua wanazo za sauti nzuri sana but kwenye bass wako nyuma sana hvo hapo ndo natafuta kampuni ingine mfano jbl,JL audio, pioneer, polks ama alpine wako njema sana
Nakadhalika