Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mkuu CONTROLA ebu tupeane mbinu zakuficha hizo nyaya hasa kwa Tv iliyotundikwa ukutani
Nenda Hardware nunua Cable Trunking,we wambie wakupe trunking

Zipo aina nyingi kwa size kulingana na wingi/unene wa wire unaopitisha ndani

utachagua utakayoipenda wewe kulingana na ukuta/rangi/wallpaper yako

kisha utaenda hom kuficha nyaya zote ndani ya hiyo trunker yako ulonunua.

Tv me kukaa ukutani mimi hapana. Napendaga iwe chini chini.
Kuna TV kuiweka ukutani ni haki yake maana stand zake ni mbaya

stand ya tv imekaa kama masikio ya popo,ila kuna ukiwa na hizi tv

za Sony Bravia ambazo stand za TV tu zimekaa kama urembo nauhakika

huwezi kupata ujasiri wa kutoa stand ya sony eti uweke tv ukutani otherwise

mtu awe anaogopa tu watoto,ila kwa wale risk taker tunaweka chini hvyo hvyo.
 
Yaani mimi tv zile zenye makalio huku na huku sizipendi balaa. Halafu siku hizi nashangaa ndio wengi wanazinunua.
Tv nzuri iwe na stand katikati basi.
 
Yaani mimi tv zile zenye makalio huku na huku sizipendi balaa. Halafu siku hizi nashangaa ndio wengi wanazinunua.
Tv nzuri iwe na stand katikati basi.
mimi tv ikishakua na stand huku na huku sinunui,labda

niwe nachukua kwa ajili ya kupeleka ofisini ila sio home.
 
kuna mwamba yeye humwambii kitu na simu za infinix[emoji23][emoji23][emoji23].

yaani juzi kanizoa tumeenda kkoo na 340k,namwambia tucheki mashine nyingine ya maana jama haelewi kitu,nikazira sasa hata akiniuliza maswali ya kitaalamu ya simu ,namjibu lipia tusepe[emoji23][emoji23].

yaani kuna watu ni wajinga mpaka kichefuchefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu natumai umesaidia wengi
 
Dah...mie hapo kwenye watts ndiyo huwa pananichanganya sana...kwanini wasiwe wanafanya rating ya vyombo vyenye mifumo ya sauti kwa dB au ohms tu?

Sent using Beretta ARX 160
Mkuu, ni lugha tu za kibiashara hizo. Hujawahi ona karedio ka kichina kameandikwa eti 5000watts pmpo wakati kenyewe kiuhalisia ukihitaji kupima uwezo wake unaweza ambulia kama watts 10 tu. Ni utapeli mtupu.
Kwa wale wanaopendelea kuangalia ukubwa wa namba za watts hua lazima wapigwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu niambie hyu mnyama, ukifanikiwa kuwa nae itakuwaje, halafu ulisema sony wako nyuma sama upande bass, vip kuhusu sony xplod 1800watts peak power??

Alpine type R zipo bongo??

Hyo pioneer ya 600rms kibongo bongo zipo??(full boxed)

Zipi amplifier nzuri kati ya

Stereo na

Monoblock??

In terms of kila kitu.

Nimependa hii ila reviews zake kuna hiyo feni ya dvd player ina kelele sana.Hii kitu ni made in malaysia
Ushauri wakuu
Extrovert
 
Ulimwengu huu mkuu utaplay hio cd?
Ni kweli mkuu ninaweza nisitumie sana lakini huwa nina tabia ya ku download movie huko yify za HD then kwenye flash na ku play kwenye hiyo dvd.Vipi ikiwa kupitia flash haita zalisha hizo kelele zinasosemwa kwenye ŕeviews
 
Hapana hutasikia kelele, na ukiwa na mziki kama huo sikushauri kudownload Yify tafuta movies zinazoendana Na sorround yako. Mfano kama ni sabufa 1 na spika 5 tafuta zinazoishiwa na 5.1
 
Hapana hutasikia kelele, na ukiwa na mziki kama huo sikushauri kudownload Yify tafuta movies zinazoendana Na sorround yako. Mfano kama ni sabufa 1 na spika 5 tafuta zinazoishiwa na 5.1
Sawa chief.asante kwa ushauri.
 
Hapana hutasikia kelele, na ukiwa na mziki kama huo sikushauri kudownload Yify tafuta movies zinazoendana Na sorround yako. Mfano kama ni sabufa 1 na spika 5 tafuta zinazoishiwa na 5.1
Tofauti kati ya hii ya DZ650 Na DZ350 ni ipi mkuu ukiachana na urefu wa spika?

Na vipi haya ma Sea piano unayazungumziaje!
 
Tofauti kati ya hii ya DZ650 Na DZ350 ni ipi mkuu ukiachana na urefu wa spika?

Na vipi haya ma Sea piano unayazungumziaje!
Mkuu nimeaziangalia online kama zipo sawa, nikiwa kwenye pc naweza ziangalia zaidi side to side.

Kuhusu hawa kina Sea piano ngoja wajuzi waje, mimi sio mambo yangu haya ya Audio.

Hivi mitaani hakuna Home theatre za philips?
 
Sound enginier
 
Habarini WanaJamvi!
Naomba Kueleweshwa Mziki mzuri wenye Mkito wa Maana hususani kwenye Home Theater Sony na Wengineo. Ushauri wenu Unahusika, tafadhali.

Karibuni Wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…