Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Hizo brands mbili ni Hi-Fi Professional Speakers mahususi kwa Outdoor Setups. 🤣🤣🤣!

Kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna mtu anahitaji kuweka maspika yenye size ya friji sebuleni ili tu apate mdundo ambao anaweza kuupata kwenye Compact systems.

Hapo ndipo hawa akina Sony, Bose, Onkyo,Pioneer, Yamaha, Polk audio wanapowapiga bao.

Kwahio we kama ni MC au mmiliki wa Bar kanunue hayo ma Candy sijui Fidek. Sie wanyonge tutaishi kwenye all in one box systems.

Kitu nakubaliana na wewe ni kwenye kulinganisha Sea Piano ya 120watts na Hometheatre Systems za watts 300.
Ambacho hujakielewa ni kuwa wanachofanya jamaa wa Homtheatres za watts 300 ni kuwa ile inakuwa ni peak output bro. Inpatikana baada ya kujumlisha output in rms ya individual channels.
Mfano: Sony 5.1 yenye 300w
mchanganuo wake unakuta uko hivi.
Front channels: 65w RMS x 2
Rear channels: 65 RMS x 2
Subwoofer: 40w RMS x 1
Ukijumlisha vyote unapata watts 300

Sound lazma iwe ndogo, ila sea peano unakuta bass speaker pekeake ina 120watts RMS huku satelite speakers zake zina 15w RMS each. lazma mdundo uwe mkali tu.
 
Angalia tuliotengeneza ulaya kama wanazitundika ukutani mkuu. Kwanza yale mawaya kuchuruzika chini yakaonekana hayapendezi na wala mkao wa TV haupendezei.

Sent using Jamii Forums mobile app
kiukweli hata mimi tv kutundikwa sipendi kwanza ile hali ya kuinua shingo siipendi. Ikiwa chini chini inakuwa poa zaidi.
Ila kiusalama wake ikitundikwa inakuwa poa. Hasa watoto.
 
Extrovert Lg naona now ana full soround Av receiver kuna 5.2(2floorstanding, 1center, soroun 2 na sub 2) kwa macho nimeona ni vinu si mchezo, najaribu kuappload picha inazingua.
Labda walio/wanaozitumia waje watupe uzoefu.
 
Iwe iwavyo huu ni ushamba!! Hii style ya kutundika tv ukutani ni special kwa public places... una meza nzuri ya tv isimamishe kwa stand yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah!!
Mkuu nafikiri ww ndo mshamba....
Tv kukaa mezani ni zama za kale sana....

Angalia hata matangazo ya hayo makampuni wanavyotangaza tv zao, Kitu kipo sebuleni kimetundikwa ukutani...

Cheki hata mi mansion ya maceleb, unakuta kitu kimetulia ukutani...

Ni sehem ya kubana space pia
 
Nimekumiss eti mangi fanya basi kesho kunipigia simu kama siku ile kama upo mjini
 
Salute kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah i know sasa hizo 65 ni peak pia sio rms...wameenda na ujanja wa radio za gari unakuta wameandika 50w × 4 where real hazizid 22w per channel

Hizo watts sijui 65 unakuta amp inaeza fika hapo kwa sekunde moja tu sio continuous..sisi wasuka amp hizo satelite za theatre ukizipa tu tda2050 moja zinatoa jasho

Afu sio kuweka fidek namaanisha system ndogo ya kawaida hata haichukui space kubwa...kama pichan ina ukubwa gani ni kawaida kabisa ....ukipata na tower speaker pair kila mtu lazima akuulize unatumia nn ndani😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…