SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,795
- 1,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo brands mbili ni Hi-Fi Professional Speakers mahususi kwa Outdoor Setups. 🤣🤣🤣!Msitaje hizo watts kama mnatamka maswala ya Corona...
Unajua real 1000w acha na hizi ma music system wana rate tu kisoko zaidi maana washajua wingi wa watts unauza bidhaa...
If you ever notice seapiano ya watts 120 inapiga kuliko theatre la sony or lg la watts 300
Vivo hivo
We nikikuundia mfumo wa watts 1000
Where nitakuwekea sub 12inch ya 600rms
Then speaker nne za 100w each ambayo hutoweza fikisha saut hata kuikaribia nusu kwa matumiz ya nyumban ndo uje useme watts 2000 tena nyumban ,😁😁 nilipo kuna club ina candy mbili tu club nzima hizo ni za bass 1000w rms each na zingne za saut kawaida!! Pia kuna bar flan ina fidek moja la watts 800 sub linafumua hatari bia zinacheza tumboni afu vijana mnaongelea watts zisizo na uhalisia
Naomba unishauri kwenye gari nifunge mziki ganiView attachment 1394198
Tambo hilo BDV-N9200
kiukweli hata mimi tv kutundikwa sipendi kwanza ile hali ya kuinua shingo siipendi. Ikiwa chini chini inakuwa poa zaidi.Angalia tuliotengeneza ulaya kama wanazitundika ukutani mkuu. Kwanza yale mawaya kuchuruzika chini yakaonekana hayapendezi na wala mkao wa TV haupendezei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe iwavyo huu ni ushamba!! Hii style ya kutundika tv ukutani ni special kwa public places... una meza nzuri ya tv isimamishe kwa stand yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo.ZanzibarMkuu samahani nikitaka kubadili nikupe Sony DAV-DZ650 halafu niongeze pesa nichukue hii unakubali samahani sana
Haujanijibu nilichokuuliza mkuu
Nimekumiss eti mangi fanya basi kesho kunipigia simu kama siku ile kama upo mjiniDah!!
Mkuu nafikiri ww ndo mshamba....
Tv kukaa mezani ni zama za kale sana....
Angalia hata matangazo ya hayo makampuni wanavyotangaza tv zao, Kitu kipo sebuleni kimetundikwa ukutani...
Cheki hata mi mansion ya maceleb, unakuta kitu kimetulia ukutani...
Ni sehem ya kubana space pia
Kama.utakuja nayo.Zanzibar na ikiwa ktk good condition no problemHaujanijibu nilichokuuliza mkuu
Lg ipi unayotumia ww kama.naweza kukusaidiaNatumia LG Speaker zinazotoa Sound ni mbili tu.. Nyingine wakati nafungiwa nilielekezwa namna ya kufanya ili zitoe Sound pia.. Ila nimesahau.
Unaweza kunisaidia Boss.. Halafu na Namna sauti inaweza kuwa na Base.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibongo bongo Sony hana mpinzani ila Nairobi kuna Brand kama Harman Kardon, Bose, Bang & Olufsen, Onkyo na nyingine nyingi zote mpya! mfuko wako tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
LG model gani?Natumia LG Speaker zinazotoa Sound ni mbili tu.. Nyingine wakati nafungiwa nilielekezwa namna ya kufanya ili zitoe Sound pia.. Ila nimesahau.
Unaweza kunisaidia Boss.. Halafu na Namna sauti inaweza kuwa na Base.
Sent using Jamii Forums mobile app
Panasonic ni wazuri kwenye hii game toka wayback. Ila ya kumzidi Sony personally sijakutana nayo ila they can somehow Challenge Sony. Tofauti na Samsung ama LG ambao ni way below
Salute kwako mkuuPole sana kwa kutumia sound za madum za mchina.
Kwa budget yako karibu katika ulimwengu wa Sound zilizopimwa mkuu.
Kwa all-in one pack System kibongo bongo nakushauri bila kusita tafta mnyama kazi huyu Sony BDV-N9200 ambaye anamiliki burudani zote ndani kuanzia blu-ray disc playback, 4K Upscalling, bluetooth, Wifi active, Hi-Res audio playback.Kikubwa zaidi ana 1200watts RMS. Kwa bei ya mpya anacheza kwenye 2.2M ila ukienda Shop na mashuka ya Mmasai 2M cash lazma uondoke na mtambo. Hio option ya dukani.
Ila kuna Option ya mtumba pia, huku utapata kinu mujarabu. Kuna wana wanajiita Home_used_goods hapo instagram. Wako boko, wao wanashushaga mali toka mbele. Huko utakutana na akina Onkyo, Harman Kardon,Yamaha na brand za ulaya kama Bose. Kwa wanaojua miziki watanisaidia kukupa uhakika wa hizi brands. Combination inakuwa na Amp na tower speakers na subwoofer. Ni setup ya uhakika yani na bei zao zinachezea humo humo kwenye budget yako. Pia niliona recently wana hii Sony BDV-N9200 wao wanaisogeza kwa 1.4M imekuja kama mtumba ila ni Piru.
Kaka ushindwe wewe, pia fanya utafiti madukani kama utakuwa mpinzani wa Sony kisha nunua. Ila kwangu mie brand nyingine naonaga boloka tu. Sijapata kuona kinu cha maana walau Panasonic wanajitahidi.
Mbona waharibu trend ya Uzi mkuu?Mkuu achana na Sony wana mambo ya kifala sana hasa kwenye baadhi ya formats za media
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakutafuta unitumie huku.kwetu Ng'wamashi,niwe nakodisha kwenye mananihiiDundo la Onkyo, hilo weka mbali na watoto braza. Mi siongei sana ila wanaojua sound watakuelekeza zaidi.
Yeah i know sasa hizo 65 ni peak pia sio rms...wameenda na ujanja wa radio za gari unakuta wameandika 50w × 4 where real hazizid 22w per channelHizo brands mbili ni Hi-Fi Professional Speakers mahususi kwa Outdoor Setups. 🤣🤣🤣!
Kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna mtu anahitaji kuweka maspika yenye size ya friji sebuleni ili tu apate mdundo ambao anaweza kuupata kwenye Compact systems.
Hapo ndipo hawa akina Sony, Bose, Onkyo,Pioneer, Yamaha, Polk audio wanapowapiga bao.
Kwahio we kama ni MC au mmiliki wa Bar kanunue hayo ma Candy sijui Fidek. Sie wanyonge tutaishi kwenye all in one box systems.
Kitu nakubaliana na wewe ni kwenye kulinganisha Sea Piano ya 120watts na Hometheatre Systems za watts 300.
Ambacho hujakielewa ni kuwa wanachofanya jamaa wa Homtheatres za watts 300 ni kuwa ile inakuwa ni peak output bro. Inpatikana baada ya kujumlisha output in rms ya individual channels.
Mfano: Sony 5.1 yenye 300w
mchanganuo wake unakuta uko hivi.
Front channels: 65w RMS x 2
Rear channels: 65 RMS x 2
Subwoofer: 40w RMS x 1
Ukijumlisha vyote unapata watts 300
Sound lazma iwe ndogo, ila sea peano unakuta bass speaker pekeake ina 120watts RMS huku satelite speakers zake zina 15w RMS each. lazma mdundo uwe mkali tu.