Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mwenyewe nimetengeneza wangu wa ofisini kwa kutumia car sub ya sony explod, mid mbili za lg nilizoziwekea capacitor za 25uf each kwa ajili ya kupata mchicha😂😂 na amp ya teac....hapa nasikiliza colonization ya madiluu
 
Hizo ni specs za Sony theate mkuu labda toa elimu kwanini wao wameweka hapo.
Huo mtwango ninao hapa umeshiba sana ingekuwa mara 2 je
Ebu tuelimishe labda kuna kitu sijakijua maana mchina & taiwan ni walewale
 

Attachments

  • 158486856326293341865.jpg
    186.7 KB · Views: 8
Hizo ni specs za Sony theate mkuu labda toa elimu kwanini wao wameweka hapo.
Huo mtwango ninao hapa umeshiba sana ingekuwa mara 2 je
Ebu tuelimishe labda kuna kitu sijakijua maana mchina & taiwan ni walewale

Humo ndani kuna amplifier ndogo ndogo kadhaa zinazounda hizo channel kama 5.1 or 7.2

Sasa wamechukua kila amp inapopeak wakajumlisha ya channel zote ndo wakapata 1000w

Kama ni mtaalamu wa IC za amplifier kama tda2050...wameandika inaezatoa hadi 50w ndo ile upto tena ni kwa sekunde chache sasa me nakusukia amp nakuwekea hizo mbil afu nakwambia inatoa 100w total..wakat continuous output power ya tda2050 at 4ohms ni kama 25w kwenye distortion ya 0.5%

Kwa hiyo total ya ukweli hapo ni 50w tu na sio 100

Ndo ile unaanza shangaa mtu anakuja na 40w continuous unaanza shangaa kamzid mwenye mia

Mfano chukua radio ya gari four channel inayotoa 50w × 4 afu tafuta car amp inayotoa real 50w × 4 utanipa majibu

Nb kila kiwanda wana namna wanavorate amp zao kamwe usidangike na maneno ya box...kampun kama alpine, rocksford fosgate huwa hawaandiki zile peak wanaandika rms kwenye box kwa hiyo unaeza kuta amp imeandikwa 1000w basi kuna ingine kama deostra imeandikwa 2400 we ukachukua ya 2400 ukijua inagonga kuliko hiyo ingne
 

Ww mwenyewe wafanya hii kazi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…