Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Hiyo pesa inatosha tengeneza mziki wako where hautokuwa disappointed

Nunua car sub la inch 12 hivi kama ni pioneer or jbl or jl audio

Rms ya watts 300 kupanda had 600 ni nyingi sana ...

Sub moja na box lake

Kisha tafuta amp kama ni monoblock unaeza beba cha alpine bei ni nzuri kuliko pioneer ya saizi hiyo hiyo itasukuma tu bass

Kisha tafuta amp 4ch labda ...kisha itaftie speaker kama ni component speaker utafute na coexial pair watts zake altleast zigonge 70w rms

Box zake zipo kibao

Kisha radio na audio processor..na mambo madogo madogo

Result ni zaidi ya vi radio vya ajabu ajabu tena milion mbili haiishi....View attachment 1394544
Mwenyewe nimetengeneza wangu wa ofisini kwa kutumia car sub ya sony explod, mid mbili za lg nilizoziwekea capacitor za 25uf each kwa ajili ya kupata mchicha😂😂 na amp ya teac....hapa nasikiliza colonization ya madiluu
 
Msitaje hizo watts kama mnatamka maswala ya Corona...

Unajua real 1000w acha na hizi ma music system wana rate tu kisoko zaidi maana washajua wingi wa watts unauza bidhaa...

If you ever notice seapiano ya watts 120 inapiga kuliko theatre la sony or lg la watts 300

Vivo hivo

We nikikuundia mfumo wa watts 1000

Where nitakuwekea sub 12inch ya 600rms

Then speaker nne za 100w each ambayo hutoweza fikisha saut hata kuikaribia nusu kwa matumiz ya nyumban ndo uje useme watts 2000 tena nyumban ,😁😁 nilipo kuna club ina candy mbili tu club nzima hizo ni za bass 1000w rms each na zingne za saut kawaida!! Pia kuna bar flan ina fidek moja la watts 800 sub linafumua hatari bia zinacheza tumboni afu vijana mnaongelea watts zisizo na uhalisia
Hizo ni specs za Sony theate mkuu labda toa elimu kwanini wao wameweka hapo.
Huo mtwango ninao hapa umeshiba sana ingekuwa mara 2 je
Ebu tuelimishe labda kuna kitu sijakijua maana mchina & taiwan ni walewale
 
Attachments

  • 158486856326293341865.jpg
    158486856326293341865.jpg
    186.7 KB · Views: 8
Hizo ni specs za Sony theate mkuu labda toa elimu kwanini wao wameweka hapo.
Huo mtwango ninao hapa umeshiba sana ingekuwa mara 2 je
Ebu tuelimishe labda kuna kitu sijakijua maana mchina & taiwan ni walewale

Humo ndani kuna amplifier ndogo ndogo kadhaa zinazounda hizo channel kama 5.1 or 7.2

Sasa wamechukua kila amp inapopeak wakajumlisha ya channel zote ndo wakapata 1000w

Kama ni mtaalamu wa IC za amplifier kama tda2050...wameandika inaezatoa hadi 50w ndo ile upto tena ni kwa sekunde chache sasa me nakusukia amp nakuwekea hizo mbil afu nakwambia inatoa 100w total..wakat continuous output power ya tda2050 at 4ohms ni kama 25w kwenye distortion ya 0.5%

Kwa hiyo total ya ukweli hapo ni 50w tu na sio 100

Ndo ile unaanza shangaa mtu anakuja na 40w continuous unaanza shangaa kamzid mwenye mia

Mfano chukua radio ya gari four channel inayotoa 50w × 4 afu tafuta car amp inayotoa real 50w × 4 utanipa majibu

Nb kila kiwanda wana namna wanavorate amp zao kamwe usidangike na maneno ya box...kampun kama alpine, rocksford fosgate huwa hawaandiki zile peak wanaandika rms kwenye box kwa hiyo unaeza kuta amp imeandikwa 1000w basi kuna ingine kama deostra imeandikwa 2400 we ukachukua ya 2400 ukijua inagonga kuliko hiyo ingne
 
Hiyo pesa inatosha tengeneza mziki wako where hautokuwa disappointed

Nunua car sub la inch 12 hivi kama ni pioneer or jbl or jl audio

Rms ya watts 300 kupanda had 600 ni nyingi sana ...

Sub moja na box lake

Kisha tafuta amp kama ni monoblock unaeza beba cha alpine bei ni nzuri kuliko pioneer ya saizi hiyo hiyo itasukuma tu bass

Kisha tafuta amp 4ch labda ...kisha itaftie speaker kama ni component speaker utafute na coexial pair watts zake altleast zigonge 70w rms

Box zake zipo kibao

Kisha radio na audio processor..na mambo madogo madogo

Result ni zaidi ya vi radio vya ajabu ajabu tena milion mbili haiishi....View attachment 1394544

Ww mwenyewe wafanya hii kazi??
 
Back
Top Bottom