kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 289
- 411
- Thread starter
- #21
Mmmmh hua haiwezekaniki,hata kwenye kubeti haiwezekan 😀😀😀😀😀Jaribu ATM mashine uone

Kabisa!Huyo ndio Mungu sasa elewa
Nikiwahi kurudisha marakadhaa ila makonda hawasemagi hata Asante,zaidi anakukazia macho kana kwamba umemkosea Hadi Kuna siku abiria walimshangaa konda yani nilimwambia umezidisha chenji akaja akachukua,akarudi mlangoni na hakusema chochote.Mkuu mtu hujalibiwa Imani yake pale anapokuwa na uhitaji,unawezà kuona kama una bahati lakin kiuhalisia hyo ni kama dhuluma kwa maana unajua kuwa muuza duka kakuzidishia chenji alafu unakausha?tambua hapo umefanya dhuluma ni hali ya kutokuwa mwaminifu mbele za Mungu
Mkuu unakua na shida ambayo huwezi ikwepa hiyo hela😀!"Ogopa kutodawaiwa nauli "..ningekua wwe ningelipa....maana ni hatari na nusu kiroho zaid
Ni kweli mkuu ww tenda wema wako usisubiri apewe shukurani,sio watu wote wanaotambua umuhimu wa Neno Asante,lakin jitahidi sana kuwa mwaminifu hali kama hyo ikikutokeaNikiwahi kurudisha marakadhaa ila makonda hawasemagi hata Asante,zaidi anakukazia macho kana kwamba umemkosea Hadi Kuna siku abiria walimshangaa konda yani nilimwambia umezidisha chenji akaja akachukua,akarudi mlangoni na hakusema chochote.
Kuna mama mmoja muuza maji,pale ilala,nae kanizidishia Kama 5000,nikaingia na huruma sababu alikua na mtoto mgongoni,nikamwambia mbona umenizidishia,kilicho tokea aliurukia mkono wangu na kunpokonya helA Kama natoroka vile na Asante hakuna...yani kijaribugi kurudisha hua sipati positive feedback!
In short, una pepo la dhulmat, na kwahiyo nenda ukaombewe ili hilo pepo likuondoke!!!Nikiwa na shida kweli hua napata pesa katika mazingira ya ajabu.....
Mfano nikimsaidia mtu pesa kiasi ambacho nabakiwa Sina hela, utakuta napata pesa kimaajabu.
Toka niko chuo hali hii ilikua inanitokea, ila nilikua najua bahati mbaya baadae nikagundua ni kitu ambacho kipo ndani yangu kiukweli.
Mfano nikinunua kitu kwa hela ambayo ndo iliyobakia katika akiba yangu maranyingi narudishiwa chenji hata Kama sitakiwi kupewa chenji.Mfano naweza to 1000 nikarudishiwa 9000.
Pia Kama Sina hela nikiwa na waza kuhusu Hilo mfano nikiwa katika daladala Mara nyingi konda
Inawezekana likawa Ni pepo,Sasa limenifata mm ili iweje,sababu Mambo y kiganga Sina Ni mtu wa imani ya Kimungu Tena ya kawaida tu!In short, una pepo la dhulmat, na kwahiyo nenda ukaombewe ili hilo pepo likuondoke!!!
Mi nikajua huwa unapata michongo ambayo hukuitaraja kabisa, kumbe huwa unazishiwa chenji au kutodaiwa huduma uliyoitumia!!!
Baba angu mzazi alinifundisha hili Jambo.....Nikiwa na shida kweli hua napata pesa katika mazingira ya ajabu.....
Mfano nikimsaidia mtu pesa kiasi ambacho nabakiwa Sina hela, utakuta napata pesa kimaajabu.
Toka niko chuo hali hii ilikua inanitokea, ila nilikua najua bahati mbaya baadae nikagundua ni kitu ambacho kipo ndani yangu kiukweli.
Mfano nikinunua kitu kwa hela ambayo ndo iliyobakia katika akiba yangu maranyingi narudishiwa chenji hata Kama sitakiwi kupewa chenji.Mfano naweza to 1000 nikarudishiwa 9000.
Pia Kama Sina hela nikiwa na waza kuhusu Hilo mfano nikiwa katika daladala Mara nyingi konda hanidai,ananiruka,au anaweza nifata na kunipa chenji bila sababu,Hali hii hua inatokea automatically.
Kuna wakati hua nahisi kabisa Kuna tukio la kupokea pesa(ambayo sijaifanyia kazi),hasa nikiwa na shida,na Hali hiyo hutukea muda mfupi baadae.
Alafu wahanga wengi Ni wauza maduka na makonda,mfano Kuna siku nilijisemea kimoyo moyo kabisa "hivi Leo Sina hela huyu konda ataniruka" nilikua nimekaa siti ya nyuma watu wanne
Kilichotokea konda akaja akakusanya nauli kwa wale watatu Mimi akaniacha,baadae akaja na chenji ya 9600,akanipa!Hadi nikastuka.
Au nikiwa na shida ya pesa na nikawa sina inapokaribia siku husika ya kulipa lazima linatokea tukio ambalo litanipa hela ya kutimiza Jambo hilo.
Shida ni kwamba hata nikiwa na hela hua natamani bahati hizo ziendelee kutokea,ila hua hazitokei hata niigize vipi kuwa Nina shida ya hela sipati hizo bahati.
Lazima iwe kweli sina hela na ninashida kiukweli,ndo hua Hali hii inatokea harafu hutokea yenyewe tu.
Nikiwa vizuri sipati bahati Kama hizo kabisa.Hii Ni nn?
Unapimwa kipimo chako cha imani, unarudishiwa pesa si yako na unapokea? Huo ni wiziNikiwa na shida kweli hua napata pesa katika mazingira ya ajabu.....
Mfano nikimsaidia mtu pesa kiasi ambacho nabakiwa Sina hela, utakuta napata pesa kimaajabu.
Toka niko chuo hali hii ilikua inanitokea, ila nilikua najua bahati mbaya baadae nikagundua ni kitu ambacho kipo ndani yangu kiukweli.
Mfano nikinunua kitu kwa hela ambayo ndo iliyobakia katika akiba yangu maranyingi narudishiwa chenji hata Kama sitakiwi kupewa chenji.Mfano naweza to 1000 nikarudishiwa 9000.
Pia Kama Sina hela nikiwa na waza kuhusu Hilo mfano nikiwa katika daladala Mara nyingi konda hanidai,ananiruka,au anaweza nifata na kunipa chenji bila sababu,Hali hii hua inatokea automatically.
Kuna wakati hua nahisi kabisa Kuna tukio la kupokea pesa(ambayo sijaifanyia kazi),hasa nikiwa na shida,na Hali hiyo hutukea muda mfupi baadae.
Alafu wahanga wengi Ni wauza maduka na makonda,mfano Kuna siku nilijisemea kimoyo moyo kabisa "hivi Leo Sina hela huyu konda ataniruka" nilikua nimekaa siti ya nyuma watu wanne
Kilichotokea konda akaja akakusanya nauli kwa wale watatu Mimi akaniacha,baadae akaja na chenji ya 9600,akanipa!Hadi nikastuka.
Au nikiwa na shida ya pesa na nikawa sina inapokaribia siku husika ya kulipa lazima linatokea tukio ambalo litanipa hela ya kutimiza Jambo hilo.
Shida ni kwamba hata nikiwa na hela hua natamani bahati hizo ziendelee kutokea,ila hua hazitokei hata niigize vipi kuwa Nina shida ya hela sipati hizo bahati.
Lazima iwe kweli sina hela na ninashida kiukweli,ndo hua Hali hii inatokea harafu hutokea yenyewe tu.
Nikiwa vizuri sipati bahati Kama hizo kabisa.Hii Ni nn?
Hakika,nakumbuka siku ambayo konda alikuja kanizidishia chenji nikiwa nimekaa siti ya nyuma na wale watu watatu,nilikua nimetokea kumsalimia mwalimu alinifundisha zamani sana,Baba angu mzazi alinifundisha hili Jambo.....
"Mkono unao toa ndio unapokea"
Siku zote mkono wa birika huwa haupati kitu......
Siku zote Ukitoa dhabihu ya kujimaliza kutoka moyoni mungu hawezi kukupungukia.....
Kutokana na tabia hii nyumbani kwetu hakukuwai kupungukiwa wageni....
Mzee wangu alikua Ni mtoaji sanaa alikua anasaidia Sana watu na hajawai pungukiwa kitu.....
Mmmmh!Unapimwa kipimo chako cha imani, unarudishiwa pesa si yako na unapokea? Huo ni wizi
Harafu Sasa nikiombewa likisusa inakuaje life baada ya hapo😀😀In short, una pepo la dhulmat, na kwahiyo nenda ukaombewe ili hilo pepo likuondoke!!!
Mi nikajua huwa unapata michongo ambayo hukuitaraja kabisa, kumbe huwa unazidishiwa chenji au kutodaiwa huduma uliyoitumia!!
Look, KONDA, I repeat, KONDAKTA wa Daladala anakuzidishia 9600... si ndo ilikuwa hesabu yake ya siku hiyo?!
Kweli kabisa, mm hii ya kutodaiwa nauli ilikuwa inanitokea sana tu lakin baadae naweza poteza pesa kwenye mazingira ya utata nikaamua niiche hiyo tabia, konda akisahau sasa hivi namkumbusha na mwishowe sipotez pesa tenaMkuu mtu hujalibiwa Imani yake pale anapokuwa na uhitaji,unawezà kuona kama una bahati lakin kiuhalisia hyo ni kama dhuluma kwa maana unajua kuwa muuza duka kakuzidishia chenji alafu unakausha?tambua hapo umefanya dhuluma ni hali ya kutokuwa mwaminifu mbele za Mungu
Una roho ya kimaskini na utapele,jiandae kwa kupelekwa jela kwa utapeliNikiwa na shida kweli hua napata pesa katika mazingira ya ajabu.....
Mfano nikimsaidia mtu pesa kiasi ambacho nabakiwa Sina hela, utakuta napata pesa kimaajabu.
Toka niko chuo hali hii ilikua inanitokea, ila nilikua najua bahati mbaya baadae nikagundua ni kitu ambacho kipo ndani yangu kiukweli.
Mfano nikinunua kitu kwa hela ambayo ndo iliyobakia katika akiba yangu maranyingi narudishiwa chenji hata Kama sitakiwi kupewa chenji.Mfano naweza to 1000 nikarudishiwa 9000.
Pia Kama Sina hela nikiwa na waza kuhusu Hilo mfano nikiwa katika daladala Mara nyingi konda hanidai,ananiruka,au anaweza nifata na kunipa chenji bila sababu,Hali hii hua inatokea automatically.
Kuna wakati hua nahisi kabisa Kuna tukio la kupokea pesa(ambayo sijaifanyia kazi),hasa nikiwa na shida,na Hali hiyo hutukea muda mfupi baadae.
Alafu wahanga wengi Ni wauza maduka na makonda,mfano Kuna siku nilijisemea kimoyo moyo kabisa "hivi Leo Sina hela huyu konda ataniruka" nilikua nimekaa siti ya nyuma watu wanne
Kilichotokea konda akaja akakusanya nauli kwa wale watatu Mimi akaniacha,baadae akaja na chenji ya 9600,akanipa!Hadi nikastuka.
Au nikiwa na shida ya pesa na nikawa sina inapokaribia siku husika ya kulipa lazima linatokea tukio ambalo litanipa hela ya kutimiza Jambo hilo.
Shida ni kwamba hata nikiwa na hela hua natamani bahati hizo ziendelee kutokea,ila hua hazitokei hata niigize vipi kuwa Nina shida ya hela sipati hizo bahati.
Lazima iwe kweli sina hela na ninashida kiukweli,ndo hua Hali hii inatokea harafu hutokea yenyewe tu.
Nikiwa vizuri sipati bahati Kama hizo kabisa.Hii Ni nn?
Thank you!Mkuu nisaidie na mimi hizo chenji ulizobakiza mabahati yazidi kukufikia.
Tukiachana na utani huo, naweza kukushauri tu hilo jambo lichukukie in a positive way, maswala ya mapepo na majini hizo ni mawazo za giza kwani Mungu anaweza kukupitisha hapo ili imani yako isomeke vyema, hivyo basi usipoguswa kuwarudishia wanaokuzidishia ni jambo ka hekima pia kugawana hicho unachokipata na wahitaji hata kwa kununua bidhaa kwa watoto wanaohangaika na umachinga barabaran au wahitaji wengine kwa namna utayoguswa nayo ww mwenyew.
Mmmmh!Una roho ya kimaskini na utapele,jiandae kwa kupelekwa jela kwa utapeli
Japo siwezi kukumbuka matukio yote au pengine nilikuwa zizingatii but tukio la hivi majuzi limenifikirisha Sana"Mstaafu JK aliniambia: Mwanangu, baraka huwa ziko kwenye matatizo" ~ Nape Moses Nnahuye, Mb.