Nikiwa na shida kiukweli hua napata pesa kimaajabu,hii Ni nn?

Nope! Huhitaji mpaka "uguswe" ili urejeshe mali ya wenyewe. Ile tu kujua unayo isiyo halali yako ni "mguso tosha!" Kama unangoja eti upate mguso mkubwa zaidi, wait until you accrue some unprecedented loss ndiyo utajua God is still and will always be alive and tirelessly active.
 
Kudos & congratulations! Usisahau kuwasaidia wahitaji ili kumshukuru Mola
 
You are an outright liar. Mungu ashindwe nini mpaka akunyang'anye wewe tuvitu twako kiduchu ili ampatie mwingine??? Haven't you ever heard that He is well-able to create something out nothing, or you must have had as your personal god some powerless, metaphysical, non-existent, imaginative human invention????
 
Hujaelewa tu kwanini inakuwa hivyo kwako? Hilo ni fundisho kuwa wewe as kibangubangu hutakiwi kukaa na hela na hazikufai kabisa, so Mungu anakutumia kwa kukupa ili uwape wengine. Haya hamka sasa nenda kwenye ATM katoe mkwanja na uanze kugawa hapo mtaani kwako.
 
Dunia hii ina maajabu yake unafurahia kutoroka na nauri za watu eti una bahati siku bahati ikigeuka upande wa pili utapoteza wewe wapate hao unaowaibia eti ni miujiza
 
That's bad spirit aisee, kwanza wewe ni mwizi, mdhulumati...kuna wale wengine ambao mnakopesheka kirahisi ogopeni sana, roho ya madeni itakuandama na mwisho wake siyo mzuri
 
Dunia hii ina maajabu yake unafurahia kutoroka na nauri za watu eti una bahati siku bahati ikigeuka upande wa pili utapoteza wewe wapate hao unaowaibia eti ni miujiza
[emoji1][emoji3][emoji38][emoji38]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sahihi Mkuu mimi nimezungumza kulingana na mtoa mada alivyojibu kwamba wakati mwingine akirudisha mlengwa anakosa ile humanity na kumuona jamaa kama kakosea sana kumkumbusha kumrudishia.
Kimachomhukumu mtu ni ile hatia inayojaa ndani yake sidhan kama utachukua mali ki sivyo halali afu usihisi hatia mwenyew labda kama una hitilafu katika sekta ya akili.
 
Haaahaaa,
Hii
INANIKUMBUSHAHA cinderella story,

Ofcorse Kuna logic ya kujiuliza...

Jamaa anasema alikua siti ya nyumba kwenye daladala....

Konda akampa 9600 Kama chenji ake...
Kumbuka walikua wa nne nyumba na jamaa hakua ametoa nauli....

Lazima Kuna natural super power ina exist...
 
Nimekaa hapa napitia comments ili japo nipate idea maana kuna hali naipitia kama ya mtoa mada,

Mimi sirudishiwi chenchi hapana, ila mara kibao sidaiwi nauli, mara naokota pesa na nyingi zaidi huwa natumiwa pesa either rafiki, family member ama bf tu, out of nowhere unakuta hapo nimefulia zangu sina hili wala lile,

Imefikia mahala siogopi kufulia sababu najua there is a way out pesa nitapata, na Mimi siyo mtu wa madeal wala nini kwamba kuna hela naiskilizia..!!

Kingine Mimi huwa ni mtu wa kutoa sana kuwapa wengine, kama una shida nitakachokuwa nacho tunagawana, mtu anataka kiasi flani unamuambia sina ila nitapata na nitakupa wakati unamuambia hata pa kuipata hujui ila kesho yake cha ajabu unamtumia..!.

Huwa naishia kusema 'I know this is You God, thank you'..!!
 
mimi nipo kama wewe mkuu ila kwangu Mimi imenitokea Mara nyingi makonda huwa awaniombi nauli nikiwa kwenye daladala konda anakusanya nauli kwa wote ila akifika kwangu anakausha
 
Isijekuwa alipokea hela ya abiria mwingine, sasa huko mbele ya safari konda kabamizwa wakati jamaa kitambo tu ameshazitufua hukooo
 
This is so good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…