Nikiwa na shida kiukweli hua napata pesa kimaajabu,hii Ni nn?

mimi nipo kama wewe mkuu ila kwangu Mimi imenitokea Mara nyingi makonda huwa awaniombi nauli nikiwa kwenye daladala konda anakusanya nauli kwa wote ila akifika kwangu anakausha
Usiwe unamwangalia konda huku umekunja ndita as if unamwambia, Mbona kwangu ushachukua ile kitambo??? Halafu, dont wait mpaka mtu akuombe chake. Ukipanda basi just pay hata kabla ya kuingia kwenye usafiri. Ikiwekeza kwenye wema your are already way richer as compared to all zillionaires wa dunia hii combined!
 
Aisee.!
 
Hakuna Jambo la ajbu hapo...
Zaidi tu nikwamba hakuna lolote lililowahi kukosa suluhisho chini ya jua...
 
bibi yako bro yupo pamoja na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…