Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
PamojaTunahitaji watu wenye mawazo chanya kama wewe!!
watu mnajizima dataMoja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake
View attachment 3327741
Haya mambo yapo juu ya uwezo wakowatu mnajizima data
Natumia haki yangu ambayo hata wewe unayoHuyu jamaa ana lengo la kuondoa attention kwenye vitu vya msingi
Usisahau kushungulikia elimu, afya, maji, miundombinu, kilimo, uvuvi, ajira, etc. Pesa zote usimalize kwenye mambo ya anga na yanayohusiana na hayo.
Vitu vya msingi kama vipiHuyu jamaa ana lengo la kuondoa attention kwenye vitu vya msingi
Taratibu-taratibu wataelewaHaya mambo yapo juu ya uwezo wa watanzania na waafrika wengi
Mwafrika anawaza apate fedha ajenge nyumba, anunue gari, asomeshe watoto wake shule ili hali mda huo huo anaconda elimu yenyewe
Sasa hizi mambo zako hakuna mtu atakayekuelewa
Huyu jamaa, hata kama atofanikiwa ila kuyajua tu mambo anayoyasema humu.Haya mambo yapo juu ya uwezo wa watanzania na waafrika wengi
Mwafrika anawaza apate fedha ajenge nyumba, anunue gari, asomeshe watoto wake shule ili hali mda huo huo anaconda elimu yenyewe
Sasa hizi mambo zako hakuna mtu atakayekuelewa
Watu wanasema ni kichaa aende mirembeHuyu jamaa, hata kama atofanikiwa ila kuyajua tu mambo anayoyasema humu.
Ana kitu kikubwa kichwani...wala asibezwe hata kidg.
Ndio shusha vyuma hakikisha huu mwaka kabla haujaisha asilimia 90% kama sio 100% wanakuwa na fikra huru. Kwa sasa akili zao zipo zina burnout kwa ndani πππ. Tajiri Sina BAYA Shimba ya Buyenze Castle_Lite Nomadix imhotepTaratibu-taratibu wataelewa